Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

Vipato vya wengi ni vidogo, havigawanyiki. Sio rahisi kugawa mshahara kwa baby mama na kwako ukaishi vizuri.

Mambo ya talaka ni matokeo tu, ila tunuie kulea familia tukiwa pamoja, tusizae hovyo tukashindwa kulea watoto wetu vizuri.

Kulea ndio huko kwa Baba na Mama.
Zamani ukisema Daktari Watu walijua Unazungumzia mwanaume.
Ni kama hivi unaposema kulea Watu wanadhani mwanaume ndiye anayetakiwa kulea ilhali ni wote. Yaani Baba na mama wote wana haki sawa katika kumtunza mtoto
 
Vipi kwenye miezi tisa pale? Na wewe ulibeba nusu kwa nusu? Nauliza tu mkuu.
 
Inawezekana wewe pia nimeshakuharibu.

Ndio maana nimekuambia muulize mama Yako nani anatoa Hela ya matunzo hapo kwenu baada ya kuwaokota stendi ya makambako.

Kama umekiri ulichofanyiwa basi sina msaada wowote kwako zaidi ya kukuaga.
 
Kuna mmoja hapa ndugu zake wamemjia juu wakimshinikiza amuambie aliyempa mimba alete hela za matunzo. Huyo mwanamke nilimhoji kwa nini abebe mimba asijue kujitunza mpaka aanze kumsumbua aliyempa? Kama mwanamke hataki kubeba mimba ni bora akajiweka kinga. Akipata mimba ni jukumu lake kujilea na amejitakia mwenyewe kwa kujiridhisha kuwa ana uwezo wa kujihudumia. Mwanaume kuleta matunzo kwa mtoto ni hisani tu na si lazima
 
Shenz ushaanza kuleta udini hapa. Usitaje bure jina la bwana Mungu wako. Shenziiii [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji41]
 
Kata ndoa

@jobtruetrue #Kazikwelikweli
 
Mwanamke mpaka anabeba mimba ina maana amejiandaa kutunza mtoto na si tegemezi kwa aliyempa mimba. Kuna wanawake hutumia hali hiyo kujitegesha wanase mimba kwa wenye hela ili wapate fursa ya kunyonya uchumi wa mwanaume kwa kisingizio cha matunzo ya mtoto
 
***** wanaume wa Dar na "kusaidiwa maisha" na wanawake. Na huyu huyu marioo ndio kutwa kubwabwaja hapa jukwaani ati mwanaume asipoheshimiwa na mke yeye ni bwege. Sasa unajiuliza yeye anajiliza asaidiwe ataheshimiwa vipi.

Yani mwanamke atekeleze majukumu kama yako alafu akuheshimu ?? Unasema mwanamke nae achangie nusu ya gharama je na wewe ulibeba mimba miezi tisa ?! Je na wewe ulijifungua kwa uchungu ?! Je na wewe ulimnyonyesha mtoto kwa miaka miwili.

kiukweli tuko na generation ya wanaume wapumbavu sana. Wanaume wanaokwepa majukumu yao ya asili huku mwanamke akisakamwa pia ati awajibike ili hali majukumu yake anayabeba bila kusaidiwa.
 
Tunapoenda Huko mbele mambo yatakuwa hivyo
Dude you lost you dick, jitazame vizuri uko na vagina growing very fast. Your entire post sounds feminine and girlish with zero masculinity in it.

Tabia za kudai dai, kuomba omba, kulia lia ni za kike hasa unapodai ati usaidiwe kulea, hell what the f.uck is going on with with young men.

We jamaa umelelewa na single mother, thats a straight fact, you dont know and never had a chance to know the responsibilities of a man.
 
Umelewa sifa; na sasa unaandika upuuzi hapa jukwaani.

Mgema kalewa sifa.

πŸ‘‡πŸ‘‡

"Lazima naye ahudumie. Sikumtuma abebe mimba na anizalie mtoto. Wakati tunafanya alivyokuwa anajichetua, kujibinjua, kubiringita, kujipogoa na kunengua achimenengule kama Akudo band alikuwa akichekelea. Hakujua ikiingia mimba kuna majukumu ya kulea?"
 
Usimtumie ukristo kufanya kama rejea ya mambo ya hovyo, mwandishi anaongelea mwanamke mchepuko na sio mkewe wa ndoa.
HATA HIVYO SWALA LA KUTUNZA FAMILIA NI LA BABA NA MAMA SIO BABA PEKEAKE.
πŸ€πŸ™
 
Aimen Apostle πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…