Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

Nakushauri kaowe mwingine, ndoa siyo ya kujaribu na usimuowe mtu ambaye atakutesa utajuta kukosa furaha katika maisha
 
nataka kuoa, ila pia naagalia kama nikifariki watoto wangu watabaki kwenye hali gani ya kimaisha
Fala wewe na akifariki mkeo, watoto watakuwa katika hali gani?!

Yaani unajiweka katika death wish mwenyewe?! Nyie ndio wale machoko mnaoungana na wanawake kuwa mwanaume huwa anakufa kwanza katika ndoa...., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jinga moja wewe, acha ulofa na umarioo, nenda kajenge mji wako na utafute mali yako binafsi. Achana na mali za watu.... Yaani unajisahaulisha kuwa hata baba wa huyo binti nae ni mwanaume na alizitafuta mali kwa bidii yake....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki ulivyokuwa hopeless na juha la maana. Hivi wewe ni mzima kweli kichwani?!

Aliyekwambia watoto wanachagua pakuchukua akili ni nani?! Kwahiyo mama anampaje mtoto akili sasa kwa mfano?!

So watu wote wenye uwezo na vipaji akili wamechukua kwa mama zao?!

Jinga moja wewe.....

Na si shangai kwann unakwenda kufanya maamuzi ya kindezi hivyo sababu ya namna ulivyo mpumbavu.....

Yaani unavyomuongelea huyo mwanamke na unavyoplan kupata mtoto utadhani mfugaji anaplan kupata mbegu ya ng'ombe au kuku......

Aiseeee ningekuwa nakujua ningekufuata leo nikupe za chembe we fala....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu basi yaishe
 
baba nipo mkuu, ila najaribu kuangalia pia upande wa mama ale goodtime
Baba sio kuvaa suruali na kujiita baba. Baba ni kuwajibika. Kwa namna umejipresent hapa inaonyesha hauwezi majukumu ya kuwa baba kwa familia, mume kwa mwanamke na hata kuwa mwanaume katika jamii.

Sababu tayari umeshaanza kujipa 50/50 chances za kushindwa maisha na kutarajia kupata sapoti ya ukweni. Wewe ni baba gani sasa unawajengea mazingira watoto waje lelewa na wazazi wa mkeo...?!

Baba wakweli anasema mimi nataka nione mtoto wangu ana kampuni, ana ajira, ana kipato na anauwezo wa kujitegemea na ana reputation nzuri katika jamii.

Unajita baba huku unawaza kufa watoto waje lelewa na mwanamke na familia yake?!

Unajiita baba halafu namna unavyomsifia mwanamke utadhani yeye ndio mwanaume kwako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe ni mwanaume.
Katika maana halisi ya mwanume? Siyo maumbile.

Kuna watu ni wanaume maumbile, Lakini fikira na mawazo huwa siyo ya kiume kabisa.
 
Yaani kama tayari mwanzo wenu tu alkishaanza nyodo hizo ujuwe wazi hapo huendi kuoa bali waenda kuolewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…