Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Fanya hivyo ya nini kukaa sehemu mwanaume hakuthamini
 

Liverpool VPN ni wewe anakupigia hupokei?
 
nafikiri mtambue mtu unae date nae. wengine ndivyo walivyo.

Binafsi hata mimi sipendezwi kukaa kuzungumza au kutextiana kila muda. ni asubuhi na jioni then imetoka hiyo. Na hilo halimaanishi kuwa mtu simpendi. Ila huwa nakuwaga muwazi kuhusu hilo.
 


Kumbe?!

Lakini naona mnakosea kama ni hivyo!

Actually hicho unachokisema ni kweli kinafanyika kwenu miongoni mwa mnaojiita
Maharia lakini nimwambie kitu kufanya hivyo si Sawa!

Yani labda kama mwanamke huja mpenda kwa dhati sawa lakini kwa unayempenda kwa dhati haifai kufanya hivyo.

Hata asipokwambia lakini unamfanya kuzani huenda umeghairi kumpenda na kujitoa kwenye penzi mazima!

Yani laiti mngejua kuchechea huba pale ambapo mwanamke yuko high mngeweza kufurahia sana penzi kwa pamoja msingafanya hayo.

Sikatai ni kweli kabisa Mwanaume inabidi apewe nafasi ya kufanya mambo yake mengine hii ni kanuni kabisa ambapo wanawake wanapaswa kuijua lakini isizidi.

Lakini Mwanamke yuko high Mwanaume unapoaaaa, ukija kujifanya unaanza kuwa mwanamke anakuwa ameshapoa sasa hapo kunakuwa na raha gani?!
 
me naborekaga hupesi. naona kama utoto. Uache shughuli mnakaa zaidi ya nusu saa mnavyoviongea vyenyewe unakuta havina msingi.
 
Sasa ww mdada unatak anyanyue zege uku anaongea na cm acha zako watu wanakwambia ofisini kumbe wapo kweny day waka⚠
 
Hii ngoma iko vice versa,

Tukiwa tunawatongoza,
Tunakuaga HIGH na kutumia Nguvu nyingi sana, uku nyie nmnakuaga LOW na maringo kibao.

Tukishawapata,
Tunakuaga low ili kupumzika na uchovu wa pilikapilika za kuwatongoza, wkt huo nyie ndo mnakua HIGH ili kuenjoy penzi jipya.

Kwaiyo,
Ni Mwendo wa kupindua pindua meza tu.

Hii ndivyo NATURE ilivyo[emoji4]
 
Anafanya kazi gani?
Mnaishi mikoa tofauti?
 
Mimi nimemwambia ukweli, na huo ndo ukweli kwa wanaume wote, hamna cha kutaka kuwa peke yako wala cha u busy, hata kama unafanya kazi bank, wakati wakula hata ka sms kamoja utatuma, kama mnyanyua zege ndo kabisa utatafuta upenyo uskie sauti ya mrembo.

Hizo mambo za kua eti sim mda wote sjui nini na nini hujapenda.

Hembu msome dada umuelewe.
-usiku mda alosema ndo apigiwe na dada yetu, jamaa anaongea kidogo anaaga.
-lakini mara nyingi dada anakuta sim yake iko busy jamaa anaongea na sim nyingine.
-tena kuna mda anamwambia nakupigia nakupigia ndo imetoka hiyo.
-sms mchizi hataki kujibu.

Kwa mwanaume aliependa anamwita mchumba na kumuelekeza mazingira ya kazi vizuri, lakini pia akiwa free mdada ataona bashasha za jamaa kwa mapenzi ya kweli yalomjaa, lazima awe na ham ya kuongea nae.
Mapenzi hayafichiki jamani.

Sina nia ya kumuumiza bibie, ila mimi nataka apone, atoe hilo jino bovu ambalo kila mda anajigonga linamuumiza, bora abaki na pengo awe huru, kama jino litaota jipya mbele ya safar.

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Hakukupenda, alikutania tu, ukajipeleka mputamputa. Pole.
 
Mmh, aha okay!
Learning!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji134][emoji134]mmh Mungu nisaidie sijui km nitaweza hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…