Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Sawa, ila uko kwenye high tempa yaonyesha mtu wako pia hakupigiagi eeh[emoji23]pole ila ukweli ni kwamba mwanaume akipenda lazma akujali pia, ukiona hakujali usijidanganye ati ndivyo alivyo, jua kuna sehem anawasiliana vizuri tu.

Kumjulia hali mtu wako eti uko job less, unashangaz sana, mawasiliano hayan cha jobless wala nani, kuwasiliana kupo tu, hata mara 2 kwa siku, mnatumia walau dakika moja.

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Alafu mwanamke gentlemani ni wa aina gan huyo? Sijawah mwona[emoji205][emoji205]

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Achana nae njoo kwangu
 
Utachokwa sasa hivi. Nenda taratibu binti
 
I give him a time from tomorrow I m not going to search him in that point najua nitapata majibu yalio kamili kama ananipenda atanitafuta tena and if ikiwa forever bac alikuwa ana ni test.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
kuna sehemu nyengine mtu akiajiriwa haruhusiwi kushika simu mpaka mda wa kutoka, ungemuuliza pia
 
Kama Kesha mtafuna itakuwa hamtaki , mambo ya connection huwa Ina tegemea kwa ntu na ntu
 
Sasa ww mdada unatak anyanyue zege uku anaongea na cm acha zako watu wanakwambia ofisini kumbe wapo kweny day waka[emoji615]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naam mbwa kala mbwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyo hakupendi achana nae , nipe namba yako nikusaidie kukushauri
 
Unampigia mtu simu mara kumi ana figo yako? Hebu acha masihara, piga mara moj asipopokea subiri akute misscll akupigie yeye.
[emoji16][emoji16][emoji16] muache mwenzio kapenda
 
Natumiaga excuse ya ubusy pia ninapokua siko interested na mtu.
Hivi kweli masaa 24 yote unakua busy, unafanya research za kutibu cancer au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu binti anapotezewa muda.
For sure ,, Jamaa anakuta missed call na text lakini hata hamtafuti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Jamaa anajua Sana kukeep standard nimemuelewa bure
 
Hata mimi nipo hivyo, kuna mtu akikuona tu upo online anaanza kukutumia message, yaani naudhika na saa hiyo hiyo natoka online ninakuja kumjibu baadae sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…