Nampenda lakini ana tabia za uswahili uliopitiliza. Nifanye nini kumbadilisha?

Nampenda lakini ana tabia za uswahili uliopitiliza. Nifanye nini kumbadilisha?

Ni ngumu sana kumbadilisha mtu tabia, kama umempenda kwa vile yuko vizuri 6 kwa 6 ni juu yako kuamua kusuka au kunyoa.
 
Kwan mke anatakiwa kuwaje naomba utuelimishe?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimaanisha mke ni yule anayejua kutunza familia yaani siyo malaya kitandani, yule ambaye ukiwa haupo watoto wanakula, yaan mlokole fulani hivi, mwenye hofu ya mungu sana, ostadhat fulani hivi. Nadhani hiyo ndio maana ya huyo mdau.
 
Naona samaki mwingine wa kuogelea nchi kavu sababu ya Hamida.
Mwenye ile clip ya Hamida atupie kama kimbukuzi
 
Subiri azae! Mtoto akiwa wa kike bahati hiyo.usiwe na shaka wanawake wanakuaga hrk sana. Usimuoe ila baki nae hapo nyumbani na mpe mamlaka makubwa km mke. Akulinde na vimwanamke vijingajinga. Huyo Mamake mshushe mamlaka akitaka kitu muelekeze kwa mwanae.
Wa kiume fukuza aende huko kwa babae!
 
Huyo ni mchepuko material[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushanasa mkuu na uswahili wake wote ndege tunduni

Haya malalamiko kama unaweza mwambie mwenyewe si upo nae hapo ili abadilike
 
Subiri azae! Mtoto akiwa wa kike bahati hiyo.usiwe na shaka wanawake wanakuaga hrk sana. Usimuoe ila baki nae hapo nyumbani na mpe mamlaka makubwa km mke. Akulinde na vimwanamke vijingajinga. Huyo Mamake mshushe mamlaka akitaka kitu muelekeze kwa mwanae.
Wa kiume fukuza aende huko kwa babae!
Sijaelewa.
 
Back
Top Bottom