The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Jibadili wewe mwenyewe. Kwani tabia za kiswahili ni zipi na za kiingereza au kikurya ni zipi?
Ulimkuta na bikra?Ndio mkuu unajua abadilike angalau kidogo tu hata kwa asilimia 35% huko kwingine nitavumilia maana kila binadamu kazaliwa kwa namna alivyo na mapungufu yake kutokana na mazingira pia. Abadilike kwa 35% na 65% abaki nazo.
Mkuu mkuu sasa wewe ni mtabiri mzuri na kama uliona kila kitu.utaambiwa had kafiwa
Hahaha, hakuna unaloweza kufanya kumbadilisha maana yeye anajiona mjanja na wewe fala lake. Yani ni mwendo wa vizinga kila sikuMkuu mkuu sasa wewe ni mtabiri mzuri na kama uliona kila kitu.
Jana usiku ananipigia simu analia kichizi chizi eti kafiwa na baba mkubwa so anataka akazike hivyo ni dar yeye yupo mkoa, so anaomba nauli ya go and return. Nilichoka afu sijamwambia kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kwa rehema tu, vita yako si ya nyama bali kiakili [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Una umri gani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Navunga tu na kumpotezea, sema kumukomoa nikutoka na mwingine afu ajue ana wivu huyu mwanamke acha tu
Basi ndio maana.Miaka 26
Ndio maana nini sasa, fafanua vizuri mkuu tuelewe.Basi ndio maana.
[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nini sasa, fafanua vizuri mkuu tuelewe.Basi ndio maana.
[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Sent using Jamii Forums mobile app
nakazia.
Basi ni utoto unamsumbua...na mapenzi kwako hana!20 mkuu dalili amna
Hujadanganya kitu mkuu ndio walivo kabisa.mademu wa uswahilini kukupa uchi hawana hiyana.. kwahyo kitendo cha kupewa pilau mpaka biriani kisikufanye uamini kua anakupenda pia . .
"kama umempenda we mpende tu maradufu,
ila huku kitaani tunamgonga mpaka kwa buku"