Mwanamke anapokuwa na wewe,kwa vyovyote kunakuwa Kuna kitu kilichomfanya awe na wewe.Sasa kusema kwamba unaweza kumbadilisha atoke kwenye lengo lake huwa ni ngumu sana,hivo Hamida kumtoa kwenye lengo sidhani Kama utafanikiwa.Cha kufanya,kwa kuwa akina Hamida wako tele,ebu mtafute Hamida mwingine atakae kuwa na malengo kwako yaliyo sawa na uliyonayo kwake.Maana huyu Hamida asije akakufanya Kama yule Hamida wa Kule Facebook(Kama sijakosea)alivyomfanya jamaa mpaka akawa anagalagala kwenye tope huku akimwita Hamida wake.Usipoziba ufa ...........