Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Mmmmmmhmn ila ndugu me naona kama hamida hana tatizo. Isipokuwa wewe umeshindwa kumudu uwepo wake.
Angekuwa anakunyima mchezo ningesema ni mkorofi ila gemu anakupa tena kibabe na kiroho safi. Cha msingi wewe anza kumjengea msingi wa biashara na usimlaumu au kutumia nguvu kumfunza.
Fanya biashara kama ni yako halafu wewe unamfundisha yeye kukusaidia kuisimamia, then kinachopatikana unamgawia kidogo ili aone nguvu ya jasho lake.....
Kabila au asili haina uhusiano na jitihada na mabadiliko ya mtu kiamendeleo. Ukimtrain atazoea na atabadilika.....
Sent using Jamii Forums mobile app