Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Hapana miyeyusho tu huyu mtotonimeishia kwenye "hile"
anyway, inaonekana wewe kuna kipindi ulimwambia muwe marafiki tu, na yeye ni nani sasa... akaamua ku move on
Nigha unataka utukanwe? Akikuweka friendzone, futa namba , futa kila kiti about her. Live your lifeView attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
Kabisa hakuna namnaShe's a World cup, you're a Cristiano Ronaldo. You can't get her, move On!
View attachment 3671078
Na juzi katafuna laki mamaaee inaniuma mno niliipeleka maeneo kiingilio elfu 30 kunduchi kule dah!Nigha unataka utukanwe? Akikuweka friendzone, futa namba , futa kila kiti about her. Live your life
Kwangu kila kitu hakosi😁View attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
😅😅tumia chumvi ya mawe mjomba
Natamani mno kumpiga viganja"Kama anaendelea mgumu, mwambie ateme makuku na machips yote uliowahi kumnunulia pale kwa chagga bites"
View attachment 3671082
Ndio ankoMpaka muda huu bado una namba yake?
Tupe real life procedurestumia chumvi ya mawe mjomba
Dah unatia hasira sana mkuu, futa namba hiyo. unamilikije namba za marafiki wa kike? haitoshi umeanza na kumhudumia, unamhudumia kama nani?Ndio anko