Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’

🥴🥴🥴🥴
friend zone ni ishara mwanamke anaanza tengeza hisia juu yako hakuwa nazo hapo awali, huwa hawapendi ghafla hao.. Mbili ana maanisha uwe rafiki kweli kweli, tatu anacheza na akili yako na nne anaangalia kama amekuzidi akili au ummezidi akili


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…