Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’


Kwa hiyo bro nje ya JF unaandika Uciku badala ya usiku?
 
Mbona miaka yetu ya 47 tuliweza

Kwanza mchumba mwenyewe unamtongoza miaka 3 ndiyo anakukubalia

Baada ya posa na mahari ndiyo unaenda kumjua(unakwenda kulala naye)

Ukienda siku hiyo unakuta kitu sealed kabisa yaani 😋
Mliishi maisha ya raha sana. Miaka hii binti anakwambia ni sealed ila ukienda utakayokutana nayo na uchumba unakufa.
 
Wewe nawe ni wa 2000 kumbe lighter mind kaza fuvu *****
 
mdau mbona unakua simp, tena kwa kitoto cha 2000...wenzako wanabutua for free( eti nakalipia kodi), acha uboya
Vitoto vya 2000 havitaki huruma. Let mwamba be brutal a little bit. Dunia haijawahi kumhurumia anaye jifanya ana huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…