Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

Usiseme ivo mdau wanawake wanavadilika usiombe kuna my friend wangu alifall in love na kademu kamoja kadogo ila kazur sema kalikuwa hakana akakaa nacho km miaka 5 mbele hv sasa hv uyo dads ana figa na umbo plus na uzur wako dah hatar tupu mm mwenyewe nataka nivunje urafik nijitose
Kama hapo kabla alikua na shape na tako sawa. Ila Kama hakua nalo nisingejishughulisha hata kumtongoza, tungebaki washikaji tu.
 
Nipe mimi huyo mkuu

Usije ukamletea makwazo mtoto wa watu hapo baadae kisa hana tako

Sasa wewe nawe kuwa na akili bhasi,kwani unaolea marafiki huyo msichana hadi uwasikilize kila jambo

Yote ya yote, huo ni utoto tu, ukikua utaacha
 
Habaran wana jamii forum hope kila mmoja yupo on way back to home baada ya mihangaiko sasa basi nimeona nishare na nyiny hii mada ok let go on

Nipo kwrnye relationship na msichana fulan jina kapuni for 4 years now nampenda sn na hii ni kwa sababu hakuna mwanamke aliewah pitia njia ambazo tumewah pitia mm na yy

Nampenda na wengine nawadanganya tu NIYEYE iko proved ndan ya moyo wangu km nampenda ana kila kitu ambacho msichana anatakiwa awe nacho lkn figa hana

Nimejaribu sn kwenda nae out nara kadhaa huko tunakula vitu vzr kuku.chipsi.kitimoto lkn ajabu ni kwamba mm ndio nimekuwa nikinenepa lkn yy yupo vile vile kwa umbo yy sio mwembamba wala mnene ni wa kawaida ila figa hana au niseme kalio hana

Nimejaribu nikiwa nae namuonesha picha za wanawake wenye mashape makusud ili nae apate hamasa ya kuwa km wao ata kwa kutengeneza lkn wapi kuna siku nilitoka nae out kesho nikampigia simu nikamuuliza umekula nn akajibu ameshindia uji toka asubuh nilishtuka sn

Nikagundua kuwa kumbe tukitoka out akirud home anaanza diet kumwambia ukwel kwamba nataka awe na figa nzur nashindwa maana nahis inaweza kumuumiza sn moyo

Mbaya zaid rafik zaid rafik zangu pia wanakuwa wakidai kuwa hana figa jambo ambalo linasababisha nijisikie vibaya

Naomben ushaur nifanyaje

NB : pia nipo kwenye relationship na dada mmoja ana shape lkn sura sio nzur sn afu kifuan matiti madogo nipo nae lkn simpend kuzid uyo w apo juu sababu uyu matako kaja kwangu sababu ya shida zake tu na ana omba omba hela ovyo namm nampisha kalendaWapo wengine wana sifa zao lkn siwapend km uyo wa apo juu na km angekuwa na shape tu basiiiiiiii ningekuwa nimekwishaaaaaaaaaaaaaaa

Ukikua utaacha kufikiria makalio, jiulize je mtoto wa kiume huwa anarithi kalio? Wenye kujielewa huwa wako makini na kuangalia future ya kizazi chao
 
Nipe mimi huyo mkuu

Usije ukamletea makwazo mtoto wa watu hapo baadae kisa hana tako

Sasa wewe nawe kuwa na akili bhasi,kwani unaolea marafiki huyo msichana hadi uwasikilize kila jambo

Yote ya yote, huo ni utoto tu, ukikua utaacha
Siwez mpa vikwazo ata iweje nampenda namuheshimu
 
"Nimejaribu nikiwa nae namuonesha picha za wanawake wenye mashape makusud ili nae apate hamasa ya kuwa km wao ata kwa kutengeneza lkn wapi" samahani mkuu yaan unataka awe kama wao kwa kutengeneza kwann usitafute mpunga kwa nguvu zote umpeleke akafanye surgery hapo tu nigeria awe na mshape kama nicole wa insta
 
Huyu wa kwangu kwa chura hili plus kiuno cha nyigu simwachi ng'ooo, kama ni sura hata mbuzi anayo
268909.jpg
 
"Nimejaribu nikiwa nae namuonesha picha za wanawake wenye mashape makusud ili nae apate hamasa ya kuwa km wao ata kwa kutengeneza lkn wapi" samahani mkuu yaan unataka awe kama wao kwa kutengeneza kwann usitafute mpunga kwa nguvu zote umpeleke akafanye surgery hapo tu nigeria awe na mshape kama nicole wa insta
Huko nigeria mbal mbona apa dar kuna mbinu nying tu
 
Nipe mimi huyo mkuu

Usije ukamletea makwazo mtoto wa watu hapo baadae kisa hana tako

Sasa wewe nawe kuwa na akili bhasi,kwani unaolea marafiki huyo msichana hadi uwasikilize kila jambo

Yote ya yote, huo ni utoto tu, ukikua utaacha
life is socially constructed. watu tunafanya/kupenda yale yanayofanywa/kutendwa na jamii
 
3
I agree wc u 100% tatizo naamin akiongezea shape ntampenda zaid na zaid
Acha mawenge huyo mtoto ni mzuri jinsi alivyo, akishazaa mtoto mmoja ndio atazidi kuwa balaa 😂 tunawajuaga vimbau mbau wakizaa huwa miili inakuja vizuri kichizi.
 
Back
Top Bottom