Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa kwangu kwa chura hili plus kiuno cha nyigu simwachi ng'ooo, kama ni sura hata mbuzi anayoView attachment 1605151
Famba kweli wewe, eti huna kalio kalio, wewe unalo ndiyo linalokulipia bills?? Hongera Mwenye mikalio yako ,sasa unataka na mpenzi wako awe na kalio wakati tayari unalo wewe dooh🤭Famba mwenyewe km huna kalio peleke povu kule kwan lazima uchangie poor mind ungepita tu kimya kimya ungepungukiwa nn BITCH
Kumcheat namcheat sikatai lkn kumtenda siwez nampenda i really love herUngekua unampenda usingeona hizo kasoro za shepu wala kalio, jitafakari upya na uwe na uhakika na maamuzi la sivyo utakuja kumtenda tu
Nafikiri message yako imemfikia mleta uzi kuwa mademu wenye shepu ni wa ummaHuyu tutamla wote (kijj)
Kwenye aya maisha ukisema umtafute mwanamke au mwenza mwenye kila sifa utakazo utafel broo. Kama unampenda uyo mwanamke usiangalie mapungufu yake. Kingine acha kusikiliza mawazo ya marafiki zako. Nadhani nao wanawapenzi na wanakasoro either zinaonekana au nizandani. Ila wanawapenda ivo ivo. Naamini ata akiongeza ilo tako bado utamcheat mwanzo utaona sawa ila itafika atua utasema namtaka mwenye shape yake OG, au bora ungekuwa kama zamani.Habaran wana jamii forum hope kila mmoja yupo on way back to home baada ya mihangaiko sasa basi nimeona nishare na nyiny hii mada ok let go on
Nipo kwrnye relationship na msichana fulan jina kapuni for 4 years now nampenda sn na hii ni kwa sababu hakuna mwanamke aliewah pitia njia ambazo tumewah pitia mm na yy
Nampenda na wengine nawadanganya tu NIYEYE iko proved ndan ya moyo wangu km nampenda ana kila kitu ambacho msichana anatakiwa awe nacho lkn figa hana
Nimejaribu sn kwenda nae out nara kadhaa huko tunakula vitu vzr kuku.chipsi.kitimoto lkn ajabu ni kwamba mm ndio nimekuwa nikinenepa lkn yy yupo vile vile kwa umbo yy sio mwembamba wala mnene ni wa kawaida ila figa hana au niseme kalio hana
Nimejaribu nikiwa nae namuonesha picha za wanawake wenye mashape makusud ili nae apate hamasa ya kuwa km wao ata kwa kutengeneza lkn wapi kuna siku nilitoka nae out kesho nikampigia simu nikamuuliza umekula nn akajibu ameshindia uji toka asubuh nilishtuka sn
Nikagundua kuwa kumbe tukitoka out akirud home anaanza diet kumwambia ukwel kwamba nataka awe na figa nzur nashindwa maana nahis inaweza kumuumiza sn moyo
Mbaya zaid rafik zaid rafik zangu pia wanakuwa wakidai kuwa hana figa jambo ambalo linasababisha nijisikie vibaya
Naomben ushaur nifanyaje
NB : pia nipo kwenye relationship na dada mmoja ana shape lkn sura sio nzur sn afu kifuan matiti madogo nipo nae lkn simpend kuzid uyo w apo juu sababu uyu matako kaja kwangu sababu ya shida zake tu na ana omba omba hela ovyo namm nampisha kalendaWapo wengine wana sifa zao lkn siwapend km uyo wa apo juu na km angekuwa na shape tu basiiiiiiii ningekuwa nimekwishaaaaaaaaaaaaaaa
Unampendaje wakati unamtoa kasoro?I agree wc u 100% tatizo naamin akiongezea shape ntampenda zaid na zaid
we ni mzuri eeh? au ndo wanakuvumilia ni vile wanashindwa kukwambia ? sasa wennye makalio hawako realNinao tatizo hawaba real love ni hela hela tu mwanzo mwisho afu wengine wana sura ngumu
Mpe yako babu Acha kuzingua punguani wewe.....wewe na yeye wewe ya kwako si makubwa sana ...?? 😂😂😂Mpe yako kesi iisheWw ndio uache ufala nahitaji ushaur hapa
Kumcheat ndio kumtenda kwenyewe kwa sababu unaumiza hisia zake, lets say siku akigundua unacheat, what will happen? Ataumia sana i gues,na nsio kumtenda kwenyewe hukoKumcheat namcheat sikatai lkn kumtenda siwez nampenda i really love her
Hv vyote anavyo tupo in touch ktk kila jambokaka, kama kwel. haya unayoyasemaa ni kwel ushauri. huu hapaa
sisi tumeowa kwa kuangalia urefu, figure na mengine mwisho wa siku tunaumiaa! mtu hata akili yan!! htr
angalia vitu tatu
1. mnapendana
2. Anakusaport kwa kile unachokifanya
3. ana tabia nzur
Kwenye mapenzi tunachukuliana madhaifu...Huyo wakila kitu asio na kasoro..utampata wapi mkuuu?...UMBA WAKWAKONdio game ninalolicheza hapa ila kwann kwann asiwe na kila kitu mm ntulie
Kuna mwingine ana matako lkn tamaa kibaoUkitaka kuanza kumbadilisha mtu eti ndo utampenda zaidi..Huyo unakuwa hujampenda...Leo unasema tako na hipa..kesho utasema tumbo..keshokutwa makunyanzi usoni.
Tafuta wavigezo vyako...Huyo hujampenda jinsi alivyo..Usitake ajiharibu kisa eti utampenda zaidi...akifanya hayo kesho utasema tako lenyewe sio natural Lina manundu nundu...
SOLUTION: Hujarizika nae 100%...tafuta wa sifa na hadhi yako
Kumcheat namcheat ila KUMTENDA SIWEZO...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]..Kumcheat namcheat sikatai lkn kumtenda siwez nampenda i really love her