Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

Kama hapo kabla alikua na shape na tako sawa. Ila Kama hakua nalo nisingejishughulisha hata kumtongoza, tungebaki washikaji tu.
 
Nipe mimi huyo mkuu

Usije ukamletea makwazo mtoto wa watu hapo baadae kisa hana tako

Sasa wewe nawe kuwa na akili bhasi,kwani unaolea marafiki huyo msichana hadi uwasikilize kila jambo

Yote ya yote, huo ni utoto tu, ukikua utaacha
 
Ukikua utaacha kufikiria makalio, jiulize je mtoto wa kiume huwa anarithi kalio? Wenye kujielewa huwa wako makini na kuangalia future ya kizazi chao
 
Nipe mimi huyo mkuu

Usije ukamletea makwazo mtoto wa watu hapo baadae kisa hana tako

Sasa wewe nawe kuwa na akili bhasi,kwani unaolea marafiki huyo msichana hadi uwasikilize kila jambo

Yote ya yote, huo ni utoto tu, ukikua utaacha
Siwez mpa vikwazo ata iweje nampenda namuheshimu
 
"Nimejaribu nikiwa nae namuonesha picha za wanawake wenye mashape makusud ili nae apate hamasa ya kuwa km wao ata kwa kutengeneza lkn wapi" samahani mkuu yaan unataka awe kama wao kwa kutengeneza kwann usitafute mpunga kwa nguvu zote umpeleke akafanye surgery hapo tu nigeria awe na mshape kama nicole wa insta
 
Huko nigeria mbal mbona apa dar kuna mbinu nying tu
 
Nipe mimi huyo mkuu

Usije ukamletea makwazo mtoto wa watu hapo baadae kisa hana tako

Sasa wewe nawe kuwa na akili bhasi,kwani unaolea marafiki huyo msichana hadi uwasikilize kila jambo

Yote ya yote, huo ni utoto tu, ukikua utaacha
life is socially constructed. watu tunafanya/kupenda yale yanayofanywa/kutendwa na jamii
 
3
I agree wc u 100% tatizo naamin akiongezea shape ntampenda zaid na zaid
Acha mawenge huyo mtoto ni mzuri jinsi alivyo, akishazaa mtoto mmoja ndio atazidi kuwa balaa 😂 tunawajuaga vimbau mbau wakizaa huwa miili inakuja vizuri kichizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…