Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

Pia tafuta ndugu yake wa karibu tafuna na ajue umetafuna ili hata mkiachana iwe ngoma droo sio kesi
 
Pia tafuta ndugu yake wa karibu tafuna na ajue umetafuna ili hata mkiachana iwe ngoma droo sio kesi
Sasa huu ndio ushaur gan sasa nikale na ndugu zake afu yy ajue mmh hpn labda asijue aambiwe
 
Uyo ni wa kufanya nae maisha ukitaka kuchepuka tafuta pisi moja kali hata akikufuma anakuaa mpole we vp sasa ndo ashaumbwa hvo
 
Uyo ni wa kufanya nae maisha ukitaka kuchepuka tafuta pisi moja kali hata akikufuma anakuaa mpole we vp sasa ndo ashaumbwa hvo
Ndio game ninalolicheza hapa ila kwann kwann asiwe na kila kitu mm ntulie
 
Kapicha plz, angalau kutoka kiunoni kushuka chini .
Mashine vipi?
 
Ungekua unampenda usingeona hizo kasoro za shepu wala kalio, jitafakari upya na uwe na uhakika na maamuzi la sivyo utakuja kumtenda tu
 
Muoe huyo huyo maana ukioa anaekubalika kwa marafiki na jamii yote atakuua kwa presha.

Umeshajiuliza ukimuoa mwenyetako siku likipotea na kukongoloka mkiwa kwenye ndoa utafanyaje? Muoe huyo flat screen anaonekana ni mwanamke anaejielewa na atakua mzazi mzuri kwa watoto.
 
Wazo zur !! Kuna bidada mmoja nilimpendea tako kuna kipind alikonda nikawa sina jinsi ikabid nimpige chin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…