Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

Hofu ya Mungu ndio kitu gan icho huwa nasikiaga hii kaul cjawah kuielewa kuna madada yanaenda kanisan mm nikajua labda hayo ndio yana hofu ya Mungu kumbe yale ndio masumbufu usipime
ushawai zidishiwa chenji dukan?
 
Hivi wanaume kwanini hamtaki kukubali kuwa hakuna mwanamke mkamilifu? Mbona mnalazimisha wanawake wawe wakamilifu kwanini hamtaki kuvumilia mapungufu ya wanawake?
kwa sababu hatupo tayar kuvumilia kula mifupa akati steki zpo
 
siwez oa kamke kafupi eti kisa kananpenda na kunisapoti NEFAAA.Ukiwa nae njian kama uko na mwanao
 
Body shaming,akijiloga akaharibu mwili wake Kwa surgery lazima kuna kingine utataka , wanaume mda mwingine hamjui mnahitaji nini,hata ukipata mwanamke aliekua na vyote still hautoridhika, mwanaume wangu ananifikishiaga ujumbe Kwa utani Ila najua kabisa anamaanisha mfano "mtazame flat ass "nacheka na mjibu huko nje huwaoni wenye makalio au kabla hujaja kwangu hukuyaona kiukweli alikua ananibody shame sana dawa kumpuuza namjib tu makalio haya madogo yanaendana na walet yako
 
kwa sababu hatupo tayar kuvumilia kula mifupa akati steki zpo
Hilo siyo jibu! Hakuna binadamu mkamilifu hivyo hata ukisema umuache mmoja uende kwa mwingine lazima nako utakuta mapungufu tu sasa ninyi mnalazimisha mwanamke mmoja awe amekamilika yaani eti awe na sifa zote nzuri!
 
Wewe mtoto umenichekesha, ati unatoka nae mnakula vizuri, unaishia kunenepa wewe? Dah naipenda jiefu😂😂😂😂😂😂😂.

Kama hana shape by nature usiombe anenepe maana ataishia kuwa na tumbo tu. Wewe mwache hivyo hivyo, akizaa tu ataongezeka.

Marafiki zako usiwasikilize wanakukatisha tamaa umuache wachukue nafasi.
 
Ovyooo......
Muumbe wa Kwako
Nyie ndio mnaosababisha wadada wanjiingiza kwenye mambo yasiyofaa kama plastic surgery au kutumia madawa ya kuongeza shape ili kumridhisha mwanaume. Na worse enough ni kwamba hawaridhiki na hawaja wahi kuridhika. Mwisho wa siku unam dump unatafuta mwingine.

Na inaonyesha hata ukimpata mwenye shape akisha zaa watoto kadhaa utaanza kumwona kama kifaru maana umempendea shape.
Kuwa na mwanaume design yenu ni majanga matupu
 
Una miaka mingapi???sidhan km umefika 23 hlf rafiki yako anaongea kuhusu mwili wa mwanamke wako!!!!serious????????? Hao marifiki watoto wenzako unawatoa wapi???



Tatu,huyo nipe mimi aiseeee ndo mambo yangu hayo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Shepu na makalio vyote vinauzwa dukani siku hizi.
 
Hivi inawezekana ukaridhika na mtu kwa asilimia 100 eeh?
 
Huyoo kweli hakufai mkuu naomba nipatie mie Mana mi mwenyewe Sina shape
 
Jamani tukisema mwanamke tako mnabishaga haya sasa umeona.

Mwanamke ishu sio tabia bwana kwanza mwanamke akivutie sexually ndio uanze kuangalia hayo mengine.

Acha ufalaaa wewe nenda kachukue mwanamme ambaye ana matiti na tako maana unaelekea kupenda vyote.
 
Mwanaume unajisifia kunenepa ??
Wakati wengine tunakataa unene??

Hakika hakika hizi siku chache zilizo baki tusifanye makosa "

28 OCTOBER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…