Aizna
JF-Expert Member
- Jan 3, 2022
- 1,348
- 1,652
1) Wanaume wameagizwa kuwanasa wanawake wanaowapenda hata kwa uongo wa kiasi gani- sina kielelezo kizuri hapa ... nitafute
2) Kuhusu kukushikia kisu- hauwezi kuamini kama yupo seriously na hilo mpaka akudhuru au akuue siku moja .. nenda sister hakuna uhusiano wa kupendana na kukutishia kisu.. tumia njia yoyote ondoka hapo
3) Kwa maelezo yako; unabidi utafute mwalimu/doctor wa saikologia akusaidie, akutibie.. pole sana wadada wote.. nafahamu mnatupendaga kweli