LET HIM GONaombeni ushauri,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa, nimekuja kumgundua nimeshampenda tayr, na nisingekuwa nakaa naye pamoja hakika nisingemkamata,
Naombeni ushauri,

Unaishi na psychopath. Kimbia kabisa huyo ni psycho atakuua kimbia kama vitu muachie.Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa, nimekuja kumgundua nimeshampenda tayr, na nisingekuwa nakaa naye pamoja hakika nisingemkamata,
Kaka angu huyo sio mzima kabisa.....yani sio mzima.......Toroka mbali sana....atakuja akuumize.Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa, nimekuja kumgundua nimeshampenda tayr, na nisingekuwa nakaa naye pamoja hakika nisingemkamata, alinidanganya ana nyumba akanionyesha kabisa kumbe sio yake, akanidangany hakuwahi kuwa na mpenzi kumbe ana wapenzi wengi t, kanidangany mpa
Namshukuru Mungu sijawahi kupatwa na huu ufala uloandika hapa
Nipende mimiNamshukuru Mungu sijawahi kupatwa na huu ufala uloandika hapa
Kuna mtu nampenda ila sijafikia hatua ya kumpenda kuliko navyojipenda huo ndo uhalisia
Mpende jirani yako kama unavyojipenda, upendo ukizidi nipende na mimiKuna mtu nampenda ila sijafikia hatua ya kumpenda kuliko navyojipenda huo ndo uhalisia
Unaishi Na Mtu mwenye Dalili zote za Uchizi(Kichaa) halaf unakuja kutuomba ushauri badala ufanye maamuzi mazur ndo ushauri ufuate