Nampenda lakini simwamini kabisa, nifanyeje?

Njoo PM nimesadia watu wengi tuu wenye matatizo kama yako
 
Ambacho nakiona, ni kuwa, kuna siku kisu kitaingia mwilini mwako.
 
Njoo PM nimesadia watu wengi tuu wenye matatizo kama yako
Mkuu toa tu msaada na wengine wafaidike, msaada wako ukiwa mzuri wengi watakufuata uko uko kwa msaada zaidi.
 
Mpenzi wangu akinitishia kuniua kwa namna yoyote ile huyu ni wa kuachana nae.

Hakuna kitu chenye thamani kubwa kama uhai. Sio mume wako, sio ndgu yako, kazi unayo na bado unakazana kubaki kwa huyo muuaji mtarajiwa.

Mimi kama Vishu Mtata nakupa mwaka tu, kama ukiendelea kukaa na huyo jamaa basi ndani ya muda huo R.I.P zitakuhusu, kwasababu anakutishia kisu wakati huna makosa kabisa ni hisia zake tu, siku akikushika na kosa lolote aisee jamaa anakuua. Usijifariji eti ww hutamfanyia kosa, mtu kama huyo hata akute text ya mwanaume kweny sim yako kakusalimia ama lah akute umeongozana/ unasalimiana na mwanaume wafwa.
 
Mapenzi gani haya mbona bado mdogo hivyo ebu toka hapo dear achana na huyo mwanaume hana cha kuchanganyikiwa chochote ni usanii tu anakufanyia
 
Najua we ni mgeni hapa, huenda mwanzo ulikua kama msomaji tu,ukaona ujiunge rasmi ili uombe ushauri, hivyo nawaomba Wana Jf wasikulaumu kutokana na uandishi wako, ispokua wakushauri juu ya matatizo yanayo kukabili.
Kwani uandishi wake umeuona una matatizo gani?
 
Hapo hakuna kujiuliza achana nae tu. Tatizo kwenye hizo ndoa za umri wako ni za ju kwa juu. Yaani ukute ndugu hawajui . Kama mmeoana na ndugu wa pande zote wanajua. Washirikishe tu kwamba hiyo ndoa imekushinda kufuatana na stuation ilivyo. Watakuelewa tu.

Muhimu waambie kabisa mimi nimewaambia tu mjue kwa mambo mawili kwanza kwamba naondoka kwa huyu mtu. Pili kwa tahadhali kwa tabia alizozionyesha bado nina wasiwasi hata nikiondoka anaweza akanifuatilia.

Kwa maana hiyo watahadhalishe,wasije wakakuambia “VUMILIA NDIO NDOA ZILIVYO”. Hiyo ilikuwa zamani. Siku hizi akikutishia mara moja tu ujue ipo siku atakuua
 
Anza kuandaa kaburi lako,kifo kifo kifo hakina huruma
 
Achana na huyo chizi endelea na masomo
 
Kama sio unaishi na mgonjwa wa akili bhasi huyo ni psychopath...na atakuua kweli kishaa aanze kujutia wewe ukiwa maiti..ondoka haraka,au huna pa kwenda?
 
Kama sio unaishi na mgonjwa wa akili bhasi huyo ni psychopath...na atakuua kweli kishaa aanze kujutia wewe ukiwa maiti..ondoka haraka,au huna pa kwenda?
Mkuu nakubaliana na wewe, huyu jamaa hundred percent ni psychopath...
 
Ukishatoroka hapo kwa huyo mgonjwa mwenzio wa akili,pitia hapa kwangu nikupe mambo mkuu.
 
Kana umri gani hako kajamaa?
Kutokana na umri wake basi itakuwa wazi kama ni kichaa kweli au anaigiza.

Mostly atakuwa anaiga.
 
You are living with a psychopathy.
Run for your life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…