Nampenda lakini simwamini kabisa, nifanyeje?

Dada Hony pole kwa usumbufu wa huyo dogo asiyejitambua, pia pole kwa tamaa za kijinga ulizoweka mbele. Huyo dogo alikudanganya kuwa ana miliki nyumba nawe ukakubali, inaonyesha jinsi ulivyo na tamaa za kijinga na kukimbilia kumpenda mtu bila kumjuwa. Nisikupotezee muda wako, mimi pia namiliki hili jengo refu hapo chini pichani......unaonaje ukija PM tuyajenge?
 
Unadate na Chizi sio muda tu Atakujeruhi kama sio kukutanguliza akhera kabisaaa
 
Tangu upost huu Uzi hujachukua maamuzi TU, coz it has take a couple of months now
 
Siku aje atenganishe kichwa na kiwiliwili ndo akili itakukaa sawa...Mwamba kaonesha dalili mbaya hzo bado umeganda kama kupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…