Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Avae gwanda halafu wapambe wote ni magwanda tu siku hiyo, which l wont miss for anything!

af rev mother ujue siye ndo mamaids siku hiyo itakuwa hivihapo tutakuwa tunasubiri maharusi wafike sasa
 
hapo ni amu akiwa amebeba pete za harusi ndo anajiandaa kwenda nazo kanisani saasa
 
Last edited by a moderator:
@evelyne salt hata akiwa kazini huwaga haishi swags hiz!sasa ndo anajaribisha chein ya flower girl manake ndo shemeji kommando kasema yeye ndo atapendezea.
 
hapa mimi na Kaunga tutakuwa tunatangulia ukumbini
jamani hiyo siku ifike tu mwee!
 
Last edited by a moderator:
Komando atakuwa yuko pori saiv anakula mijeledi.Kwa staili hii ya kupotea utaishia kutuolea tu Mr Komando Man.
 
Nicas Mtei, ngoja kiroba kimuishe utauona mtiti wake
Mjeda CHAI CHUNGU ameamua kujidunga viroba baada ya kuzidiwa kete na Komandoo. Hahaha

557336_211641852295948_1341297232_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kila la Kheri Madame B, naona Mjeda kaamua kujilipua juu yako, Hao akina Chai Chungu walikuwa wanakuzuga tu si waowaji, haya sasa umepata mwandani wako, ukatulie, na Pia usinikose kadi ya Kichen part, nina neno zuriiiiiiii la kukuelekeza juu ya wajeda.
 
mi nitakuwa matron besti mimi na wewe kitu kimoja
 
Mapenzi kitu cha ajabu sana yamemfanya Madame B kawa mdogo leo hureeeeee!!!!!
Haya madame ligwaride lingine hilo kazi ni kwako, naona nyota inang'aa kuelekea jeshini.....
mi nakuombea awe mme mwema mwenye mapenzi ya kweli!!!
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi kitu cha ajabu sana yamemfanya Madame B kawa mdogo leo hureeeeee!!!!!
Haya madame ligwaride lingine hilo kazi ni kwako, naona nyota inang'aa kuelekea jeshini.....
mi nakuombea awe mme mwema mwenye mapenzi ya kweli!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom