gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
acheni kumzodoa mkaka wa watu, kwani mwafikiri ngerengere wanasoma akina nani?? nahofia tu usije ukawa ni ndugu yangu uliyekwenda kwenye hayo mafunzo mwaka juzi lolz!! hebu ni pm jina lako kwanza
ila best sijui umejuaje umepoint kweli manake lile bodi lake na komandoo ndo ataliweza ila hawa akina CHAI CHUNGU bure kabisaaaaaaaaaaaaaa.
ila best sijui umejuaje umepoint kweli manake lile bodi lake na komandoo ndo ataliweza ila hawa akina CHAI CHUNGU bure kabisaaaaaaaaaaaaaa.
Last edited by a moderator: