CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Hahahahaha!acheni kumzodoa mkaka wa watu, kwani mwafikiri ngerengere wanasoma akina nani?? nahofia tu usije ukawa ni ndugu yangu uliyekwenda kwenye hayo mafunzo mwaka juzi lolz!! hebu ni pm jina lako kwanza
ila best sijui umejuaje umepoint kweli manake lile bodi lake na komandoo ndo ataliweza ila hawa akina CHAI CHUNGU bure kabisaaaaaaaaaaaaaa.
Naona unanipunguzia cv lol.
Last edited by a moderator: