Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie.
Habari Wapenzi wa safu Hii ya Luv Connect.

Baada ya Kimya cha Muda mrefu hatimaye nami najitokeza humu kusaka Mume Wa Maisha,nikimpata poa,nisipompata poa vilevile.
Sifa zake:
1. Awe na umri wa kuanzia Miaka 32 hadi 37.
2. Awe ni Muajiriwa au Kajiajiri.
3. Awe na Malengo ya Maisha.
4. Sitaki avutaye sigara,kama anavuta basi kwa kiasi.
5. Dini yoyote japo Mkristo atapewa kipaumbele.
6. Asiwe na gubu au kisirani.
7. Anayejua kupenda.
8. Angalau awe na elimu ya Chuo.
9. Awe Msafi wa roho na nafsi.
10. Awe Mkweli.

Sifa Zangu:
1. Nimeajiriwa.
2. Ni Mkristo.
3. Nina 27 yrs.
4. Nina elimu ya Chuo
Mengine tutafahamishana.
PM tu ndo zitajibiwa.

Nyongeza:
P'se kama unapenda wanawake wembamba hutonifaa,
Mimi ni Mnene wa Wastani, Mwenye Umbo la Kike.
Pia nina mtoto mmoja.
Maana maswali yamezidi.
Last edited by Madame B; 28th January 2013 at 10:32.
KOMANDOO HIZI NI SIFA AMBAZO MADAM B ANATAKA NA WASIFA WAKE PIA
kiplagati26 hizo ndo sifa alikuwa anahitaji je unaafiki??
 
Last edited by a moderator:
Madame B njoo umwone Komando

www.yeniresim.com_-_Asker_Resimleri_-_Komando.jpg
 
Last edited by a moderator:
Sii bure'FREEMASONS'wanahusika.
Vp mumpigie debe namna hiyo?mtu mwenyewe kapost kakaa pembeni,alafu eti wapambe ndio wameshupalia.
Hii never seen!hapa FREEMASONS wametia japo ukucha,sasa siwezi kuendelea kushindana na uzi unaokua busted na FREEMASONS,na log out byeeee!
 
Ni chungu lakini dawa. Kunywa tu.
 
Ki ukweli kaka nakupa hongera sana na nina kila sababu ya kukuita komandoo! Maana umeona hakuna sababu yoyote ya kufichaficha wala kukimbilia PM bali umemwaga mambo hadharani ili kila mtu aelewe nini kimeujaza moyo wako. Naweza kuamini kuwa una dhamira ya dhati kwa kuuliza wazi kama Madam B bado ni msichana na hajaolewa. Nimependa jinsi ulivyojilipua.
Komandoo, kila la kheri.
 
Sii bure'FREEMASONS'wanahusika.
Vp mumpigie debe namna hiyo?mtu mwenyewe kapost kakaa pembeni,alafu eti wapambe ndio wameshupalia.
Hii never seen!hapa FREEMASONS wametia japo ukucha,sasa siwezi kuendelea kushindana na uzi unaokua busted na FREEMASONS,na log out byeeee!

hahahhhhahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! mbavu zzangu lolz!!
si bure jamaa umeumia sana, haya umeshindwa hoja umekuja na ufreemanson ngoja nione.

ila hii haimaansh ile dili yetu umeicut-off sawa??

ukweli unauma kuliko ugonjwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom