Jamani Jamani, Kwanza Kabla ya yote Napenda Nichukue Nafasi hii kuwashukuru Hawa wafuatao kwa kuwa nae Mtarajiwa wangu.........
Napenda niwashukuru:
mwaJ,
Kaunga,
Nicas Mtei,
Bujibuji, Dada
gfsonwin, ChaiCHUNGU, mtengwa,
Zion Daughter,
Smile,
KakaKiiza,
watu8,
grand-mal,
Paloma,
Kiranga,
kbm,
gobore,
BONGOLALA,
Yegoo,
Passion Lady,
bucho,
kiwatengu,
Crashwise,
ndetichia,
Fidel80,
PakaJimmy,
Abdulhalim,
Vin Diesel,
tungibwaga,
giyamo,
LiverpoolFC,
Preta,
Daniel poul,
Mvaa Tai,
BADILI TABIA,
UNDENIABLE,
Tetra,
HorsePower na
Tabalo.
Jamani Ninaamini nyie ni wakubwa na Mnafahamu Kitu kiitwacho MAPENZI,
MAPENZI yanaumiza, MAPENZI tanatesa, MAPENZI yanaua.
Nashukuru Kumpata Mtu ambae amewasilisha Hisia zake kwangu, kwa maana nami sasa najiona mwenye thamani.
Nawashukuru sana kwa Michango yenu, Najua kuna wengine Mmeponda kwa kitendo cha
kiplagati26 kunitamkia hisia zake, najua hizo ni Changamoto tu katika Jukwaa kama hili, kwani sidhani kuna ambae hapendi kuona mwenzake akiingia kwenye uhusiano.
Dada
gfsonwin............Napenda nikushukuru sana kwa kuwaweka wazi hao akina
ChaiCHUNGU ambao wametokea kwenda against na
kiplagati26 wangu,
Nadhani wewe ni zaiudi ya Somo wangu.
Ila Jamani, Napenda kuwaambia tu kuwa Wanaume wengi wa Humu JF.......mhhhhh!!!!!!!
Kuna baadhi ni waongo na wengine ni wakweli............. Ila naamini mimi ni mtu mzima, Nitapembua Chuya ili nipate mchele safi.
Jamani Ni bora kulitoa lililo rohoni ili uone uwepesi wake.