Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
There are currently 49 users browsing this thread. (19 members and 30 guests)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende kwenye mahubiri ya Mwakasege Jangwani.Jana alituombea Singles wote tupate wenza.ahaaaa kwani me napenda hela sana jamani? sijui nani kaniloga hapa mbona sipati jamani?
There are currently 49 users browsing this thread. (19 members and 30 guests)
There are currently 49 users browsing this thread. (20 members and 29 guests)There are currently 49 users browsing this thread. (19 members and 30 guests)
Kaptain una bahati maana na Madam B aliweka bandiko la kutafuta mpenzi nenda Love Connect tafuta Uzi wake halafu jipime uapply.
Ha ha haaaaaaa! Nilitaka kusema hivyo hivyo! Sala za Madam B zimejibiwa. Comando huyooooo kajitokeza mzima mzima. Ila Madam B ule mpango wako wa kugombea ubunge kupitia chama tawala thithiem inabidi uuache. Lol!
lile body haki ya mungu bora limepata commando ,angefia mtu pale
Madame B Madame B toto la kinodoni mwanamke wa bashasha labda nimsaidie tu mta mada kwamba hyu ni mdada single aliwah toa bandiko hapa anatafuta mume wa kweli nafkiri hakumpata wa ukweli na mwenye dhamira kama yako. ni mcheshi, haishi vituko, ana huruma na ni mpishi mzuri kweli tena kote kote.
ni mtu wa tanga kazi yake ni mwalimu ana mtoto mmoja wa mashtuzi. utakachokifurahia kwake ni uchapa kazi na ukarimu, wala hajui kunung'unika abadan na utani kwake ndipo ulipozaliwa mweee......................mbona namwaga sifa pasi kuulizwa mieee mwaka huu ntasutwa tena . ngoja nikae kimya.
isije akawa ana log off mazima hadi kwenye dunia chezeya penzi la CHAI CHUNGU kwa Madame B weye?
Shikamoo mama.Dada snowhite hajambo?Hapo red nimecheka mpaka machozi! Lol!
Hahahah.......... Kungwi wangu huyo.
Ok Ni kweli nimepata Ujumbe wake.............. CHAI CHUNGU na Nicas Mtei, Mbona mna wivu?
Au mnataka kunipa mdogo wenu?
Dada gfsonwin hebu Baelezee.
Yerewiiiiiiiii...........................
Nakata rufaa, unanionea kwa kuwa mimi ni domo zege.
Mi ndio nampenda Madame B tangu akiwa anasoma vidudu, iweje wewe uje hapa jamvini na kutangaza ndoa?
Nipepeeni jamani naona miguu imeishiwa nguvu, na mapigo ya moyo yamebadilika, moyo unadunda utosini kisha unadunda tena kwenye nyayo.
Shikamoo mama.Dada snowhite hajambo?