Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

kiplagati26..............

Mpaka dk Hii, Sijajua unanizungumzia Mie Madame B au yule member mwingine Madam B.
Nikipata jibu hilo ndipo nitaendelea.

CHAI CHUNGU..............., Naona umamponda sana Kaka wa Watu, sijui kakukosea nini.
Kumbuka..... Ile Thread yako.
 
Last edited by a moderator:
Nderemo na vifijo siku ya harusi.

400892_283528525092474_823651271_n.jpg

hahahahahahaaahaaaa komando kipensi anaserebuka chezeya ndowa.....hahahahahaah
 
kiplagati26..............Mpaka dk Hii, Sijajua unanizungumzia Mie Madame B au yule member mwingine Madam B.
Nikipata jibu hilo ndipo nitaendelea.
CHAI CHUNGU..............., Naona umamponda sana Kaka wa Watu, sijui kakukosea nini.
Kumbuka..... Ile Thread yako.

kwa hiyo kuna Madam B na Madame B???? Ila huyu anamzungumzia madamu b
 
Last edited by a moderator:
Marhaba mwanangu Zion Daughter, dadako snowhite hajambo. Hebu kwanza bana usinikatishe raha yangu kwenye huu uzi. Mamio namngoja kwa hamu Madam B aje atoe tamko. Boss wangu Madam B mie nakuaminia kwa speed yako ya kukanyaga key board, mbona leo uko goi goi hivyo? Toa tamko linaloeleweka boss we si unaona mwenyewe gfsonwin kishaanza kutuo mastari na sare kesha chagua?
Pamoko sana mom.Mwaka huu wa arusi mpka kieleweke. Lakn na mimi nashangaa hiki kigugumizi cha Madam B sio cha kawaida..au ndo yule magwanda wa chitchat anamzingua...
 
Last edited by a moderator:
Hahahah.......... Kungwi wangu huyo.
Ok Ni kweli nimepata Ujumbe wake.............. CHAI CHUNGU na Nicas Mtei, Mbona mna wivu?
Au mnataka kunipa mdogo wenu?
Dada gfsonwin hebu Baelezee.
mdogo wangu sasa naanza kukupa somo mchuchu huyoooooooooooooooooo kesha kuja hana hiayana mkaka wa watu sasa shida kwako.
usintie aibu dada yako, uwe mtulivu, funga akaunti yako ya pm kabisaaa badili na namba ya simu. ujue hapa wapambe wanakutizama kumwaga sumu sasa uwe macho. acha mashoga na mafriend eti watu kutoka LEO TUPO HAPA pawe kituo cha polisi, mitoko isiyokuwa na sababu ikome na zile ofa za nguo mwanayamala bado nazikumbuka uzipige stop kwasasa umeskia??
 
Marhaba mwanangu Zion Daughter, dadako snowhite hajambo. Hebu kwanza bana usinikatishe raha yangu kwenye huu uzi. Mamio namngoja kwa hamu Madam B aje atoe tamko. Boss wangu Madam B mie nakuaminia kwa speed yako ya kukanyaga key board, mbona leo uko goi goi hivyo? Toa tamko linaloeleweka boss we si unaona mwenyewe gfsonwin kishaanza kutuo mastari na sare kesha chagua?
hhahhahahhahahhhhh! mama Irine uko fasta weye!!!...................yaelekea umemiss pilau la harusi manake la msibani juzi uligonga la mapilu ubungo mweeeh!
 
kiplagati26..............Mpaka dk Hii, Sijajua unanizungumzia Mie Madame B au yule member mwingine Madam B.
Nikipata jibu hilo ndipo nitaendelea.
CHAI CHUNGU..............., Naona umamponda sana Kaka wa Watu, sijui kakukosea nini.
Kumbuka..... Ile Thread yako.
this is getting more serious sasa naomba niwe dada na shemeji mkubwa kiukweli tuanze hivi, wewe na CHAI CHUNGU mliishia wapi baada ya ule uzi wake?? je ni kwamba mlipigana kibuti kama ndio its ok nenda na mjeda so far anakuapenda sana na kafunguka ila kama dugu yangau CHAI CHUNGU alikuja kurekebisha mambo nasimama hapa kama mwenyekiti wa UWJ na kama dada yako mkubwa na kama shemeji wa mumeo usiwe mtaka yote. ulikumkubali CHAI CHUNGU basi awe yeye ndo dhemeji.

naelewa ingawa nlikuwa natania kwenye post zilizopita ila kama kweli he still feels you, huitaj kuumiza nafsi yake, wala huitaj kuwa mwanamke asokuwa na masimamo. naweza kuelelewa unapopita na jinsi unavyopata utata nafsini mwako ila ukweli so long as ulimjaza CHAI CHUNGU nafsi mwako basi iwe kama ulivyokuwa umeamua.
 
Last edited by a moderator:
hhahhahahhahahhhhh! mama Irine uko fasta weye!!!...................yaelekea umemiss pilau la harusi manake la msibani juzi uligonga la mapilu ubungo mweeeh!

Ha ha haaaaa! Halafu gfsonwin weweee! Usinikumbushe mie! Nilishtukaje kukutana na kikombe cha pilau chini ya kiti cha gari? Mpaka akili ilivyonikaa sawa ndio woga ukanitoka! Lol!

Hili pilau la Madame B ni muhimu sana.
 
Last edited by a moderator:
Ukipitia likes anazotoa madame B kwa wachangiaji naona kama tayari ameishakubali, Swali je mjeda atamfikisha kunako sita kwa sita maana nijuavyo mimi nguvu zinakuwa zimehamia kwingine.Kwa kuwa umeamua kumpenda Madame B through kuchangia kwake naamini kabisa hata hisia zako na mvuto utashawishiwa na kuchangia through maongezi yake.Hivyo naamini uko tayari kumpokea madame B hata kama atakuwa wa sura,tabia, kabila na umri tofauti na unavyofikiria.Ole wako uukimbie mzigo mimi na kufa na wewe mimi ni muraaa ukomandoo uko damuni haijalishi umeenda china au Marekani.
 
Jamani Jamani, Kwanza Kabla ya yote Napenda Nichukue Nafasi hii kuwashukuru Hawa wafuatao kwa kuwa nae Mtarajiwa wangu.........
Napenda niwashukuru: mwaJ, Kaunga, Nicas Mtei, Bujibuji, Dada gfsonwin, ChaiCHUNGU, mtengwa, Zion Daughter, Smile, KakaKiiza, watu8, grand-mal, Paloma, Kiranga, kbm, gobore, BONGOLALA, Yegoo, Passion Lady, bucho, kiwatengu, Crashwise, ndetichia, Fidel80, PakaJimmy, Abdulhalim, Vin Diesel, tungibwaga, giyamo, LiverpoolFC, Preta, Daniel poul, Mvaa Tai, BADILI TABIA, UNDENIABLE, Tetra, HorsePower ,Tabalo, Denis Kasekenya, MUYOOL, Mwita Maranya, maweiwe, hovyohovyo, twendekazi, Filipo na gakato.

Jamani Ninaamini nyie ni wakubwa na Mnafahamu Kitu kiitwacho MAPENZI,
MAPENZI yanaumiza, MAPENZI tanatesa, MAPENZI yanaua.
Nashukuru Kumpata Mtu ambae amewasilisha Hisia zake kwangu, kwa maana nami sasa najiona mwenye thamani.

Nawashukuru sana kwa Michango yenu, Najua kuna wengine Mmeponda kwa kitendo cha kiplagati26 kunitamkia hisia zake, najua hizo ni Changamoto tu katika Jukwaa kama hili, kwani sidhani kuna ambae hapendi kuona mwenzake akiingia kwenye uhusiano.
Dada gfsonwin............Napenda nikushukuru sana kwa kuwaweka wazi hao akina ChaiCHUNGU ambao wametokea kwenda against na kiplagati26 wangu,
Nadhani wewe ni zaiudi ya Somo wangu.

Ila Jamani, Napenda kuwaambia tu kuwa Wanaume wengi wa Humu JF.......mhhhhh!!!!!!!
Kuna baadhi ni waongo na wengine ni wakweli............. Ila naamini mimi ni mtu mzima, Nitapembua Chuya ili nipate mchele safi.
Jamani Ni bora kulitoa lililo rohoni ili uone uwepesi wake.

orkut_thank_you_cards_scraps51.gif
 
Last edited by a moderator:
mwaJ njooo uniokoe mwenzako presha inapanda, presha inashuka, presha inakata mauono hadharani jamani. Madame B kabebeka mzima mzima, kweli ukomandoo dili hapa mjini.
Jamani Jamani, Kwanza Kabla ya yote Napenda Nichukue Nafasi hii kuwashukuru Hawa wafuatao kwa kuwa nae Mtarajiwa wangu.........
Napenda niwashukuru: mwaJ, Kaunga, Nicas Mtei, Bujibuji, Dada gfsonwin, ChaiCHUNU, mtengwa, Zion Daughter, Smile, KakaKiiza, watu8, grand-mal, Paloma, Kiranga, kbm, gobore, BONGOLALA, Yegoo, Passion Lady, bucho, kiwatengu, Crashwise, ndetichia, Fidel80, PakaJimmy, Abdulhalim, Vin Diesel, tungibwaga, giyamo, LiverpoolFC, Preta, Daniel poul, Mvaa Tai, BADILI TABIA, UNDENIABLE, Tetra, HorsePower na Tabalo.

Jamani Ninaamini nyie ni wakubwa na Mnafahamu Kitu kiitwacho MAPENZI,
MAPENZI yanaumiza, MAPENZI tanatesa, MAPENZI yanaua.
Nashukuru Kumpata Mtu ambae amewasilisha Hisia zake kwangu, kwa maana nami sasa najiona mwenye thamani.

Nawashukuru sana kwa Michango yenu, Najua kuna wengine Mmeponda kwa kitendo cha kiplagati26 kunitamkia hisia zake, najua hizo ni Changamoto tu katika Jukwaa kama hili, kwani sidhani kuna ambae hapendi kuona mwenzake akiingia kwenye uhusiano.
Dada gfsonwin............Napenda nikushukuru sana kwa kuwaweka wazi hao akina ChaiCHUNGU ambao wametokea kwenda against na kiplagati26 wangu,
Nadhani wewe ni zaiudi ya Somo wangu.

Ila Jamani, Napenda kuwaambia tu kuwa Wanaume wengi wa Humu JF.......mhhhhh!!!!!!!
Kuna baadhi ni waongo na wengine ni wakweli............. Ila naamini mimi ni mtu mzima, Nitapembua Chuya ili nipate mchele safi.
Jamani Ni bora kulitoa lililo rohoni ili uone uwepesi wake.

orkut_thank_you_cards_scraps51.gif
 
Last edited by a moderator:
kitu khabhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaang!
umaid of honor nahusika mwenyeeeeeeeeeeeeeewe!

halafu wewe ukipigiwa huchez ngoma ishazimwa waanza kukata mauno maana yake nini??
 
Jamani Jamani, Kwanza Kabla ya yote Napenda Nichukue Nafasi hii kuwashukuru Hawa wafuatao kwa kuwa nae Mtarajiwa wangu.........
Napenda niwashukuru: mwaJ, Kaunga, Nicas Mtei, Bujibuji, Dada gfsonwin, ChaiCHUNGU, mtengwa, Zion Daughter, Smile, KakaKiiza, watu8, grand-mal, Paloma, Kiranga, kbm, gobore, BONGOLALA, Yegoo, Passion Lady, bucho, kiwatengu, Crashwise, ndetichia, Fidel80, PakaJimmy, Abdulhalim, Vin Diesel, tungibwaga, giyamo, LiverpoolFC, Preta, Daniel poul, Mvaa Tai, BADILI TABIA, UNDENIABLE, Tetra, HorsePower na Tabalo.

Jamani Ninaamini nyie ni wakubwa na Mnafahamu Kitu kiitwacho MAPENZI,
MAPENZI yanaumiza, MAPENZI tanatesa, MAPENZI yanaua.
Nashukuru Kumpata Mtu ambae amewasilisha Hisia zake kwangu, kwa maana nami sasa najiona mwenye thamani.

Nawashukuru sana kwa Michango yenu, Najua kuna wengine Mmeponda kwa kitendo cha kiplagati26 kunitamkia hisia zake, najua hizo ni Changamoto tu katika Jukwaa kama hili, kwani sidhani kuna ambae hapendi kuona mwenzake akiingia kwenye uhusiano.
Dada gfsonwin............Napenda nikushukuru sana kwa kuwaweka wazi hao akina ChaiCHUNGU ambao wametokea kwenda against na kiplagati26 wangu,
Nadhani wewe ni zaiudi ya Somo wangu.

Ila Jamani, Napenda kuwaambia tu kuwa Wanaume wengi wa Humu JF.......mhhhhh!!!!!!!
Kuna baadhi ni waongo na wengine ni wakweli............. Ila naamini mimi ni mtu mzima, Nitapembua Chuya ili nipate mchele safi.
Jamani Ni bora kulitoa lililo rohoni ili uone uwepesi wake.

orkut_thank_you_cards_scraps51.gif
Ur welcome.
Na leo umeongea kwa hekima sana haijawahi kutokea.Kila la heri katika safari yenu na meli yenu(MV MAPENZI) tunaomba ifike salama.
 
Back
Top Bottom