weraaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu tunataka kula pilau la harusi sasa tunachopoteza muda kitu gani??
kashindwa CHAI CHUNGU mjeda kaingia na huyu nae akileta za kuleta mwingine ataingia kwan nini bana kuzeeshana watu mkiwa watt??
Hii ni sawa na kesi ya kima,hakimu nyani,mshitakiwa fisi!halafu huyu jamaa anaonekana kucheza na nguvu ya umma....... anashindwa vipi kuelewa service yako inahitajika na public?
aache ubinafsi ,yaani furaha yake mtu mmoja ikoseshe maelfu ya raia furaha , , , ,kweli kama humfeel tena tupa kule ,hata siwezi kumtetea ati!!!!!!
utazidi kuharibu taswira yako kwa jamii mkuu, wanaume huwa hatuna hayo mambo ya kumchana mpenzi uliyeachana naye.......... huelewi nini?
Ndo nishamtupa.
Mie ndo nshaamua hvo.
Hii ni sawa na kesi ya kima,hakimu nyani,mshitakiwa fisi!
Maana some times unaonyesha uko upande wangu alafu mara una change!
Msome gfsonwin amekujibu.
poa poa!!! be strong , be good and stay safe my friend!!!!!!!!!!! wishing you all the Best kutoka kumoyo wangu.
We unafikiri wale wakata nyonga stejini,kitandani wako vilevile.
Ye kazoea kutunga hadithi, kunimudu hakuthubutu.
Leo CHAI CHUNGU atakuwa chai pilipili!
Si umemuona mwenzio hapo juu anaanza kumwaga na ya chumbani eeh.Leo CHAI CHUNGU atakuwa chai pilipili!
Hii ni sawa na kesi ya kima,hakimu nyani,mshitakiwa fisi!
Maana some times unaonyesha uko upande wangu alafu mara una change!
Ha ha ha!umejuaje?dugu moja hizo mtu.Mmh, haya maneno ya Madame B km ya Bi Hindu wa Kaole!
Si umemuona mwenzio hapo juu anaanza kumwaga na ya chumbani eeh.
Tena ya kitandani,tena ya ndani ya shuka.
Dada yetu anaolewa!! Huyu bwana Shemeji kweli ni KOMANDOO,kapost thread alafu akakaa pembeni!! Na kwa mbali namuona kama vile anakula Karanga Za kichina! Chezeya Komandoo weye! Hawa watu huwa wanaingia ndani kwa SALAKASI,tena kwa kuruka fensi!hawapitii Getin! Tehe!tehe!tehe
Zion Daughter nahitaji maelezo hapa, mimi sina mkwe, sasa huyo unayemzungumzia hapa ni mkwe wangu kwa nani? wewe ama dadako mkorofi snowhite??Mie siingilii ugomvi wa mtu na mkwewe.Mtaelewana wenyewe
Ungeniona nilivyochekelea! We acha tu!
gfsonwin unauliza kisu machinjioni?? we humuoni Madame B alivyo mdondokea kamanda Ben Saanane?? mjeda wa kichina mwenyewe kanywea sasa tunasubiri kamanda Ben achukue jimbo rasmi.:smile-big::smile-big::smile-big: