Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Niko wapi hapa? Mbona hii thread imekaa kaa ki CC?
Imetokea huko, ikaenda MMU na sasa iko LV.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko wapi hapa? Mbona hii thread imekaa kaa ki CC?
safi sana ,,,,, hata mimi shosti wako Evelyn Salt ananipiga tafu kwenye baadhi ya mambo yangu yanayohitaji usimamizi, kumbe zafanana eeeeh!!!!!!!!!!!!!!!!
Ya uwongo sikwambii, na wala sikutabirii
Imetokea huko, ikaenda MMU na sasa iko LV.
njoo taratibu na kwa kwakutambaa kama mjusi , kuna makomando humu mkuu Bishanga
asakuta same una mikwara duh!
Ila kweli aje aste aste.
Maana kuna mpambano kati ya Mjeda mpya anaependa kiukweli Vs Mjeda wa zamani alieachia ngazi ingali bado anapenda
Komando una muda wa kutafuta mademu JF,Komando unataka kama mke wako anapenda siasa basi apende siasa,,,,wewe sio komando,tena wa cheo cha afsa, coz hakuna komando ofsa mwenye life style wala mtizamo kama wako,tena huyu Madame B ajue hili jamaa ni tapeli tu.
Siku hizi tunaitwa wajeda?
Sasa bana iko veve mwaga michele hadharani ati!
anyway unaweza kuwasiliana nae ujue ukweli,lkn hata kama huyo ni komando basi atakuwa na matatizo,kwa jinsi ninavyoifahamu JWTZ,watu wa aina yake wengi wamefukuzwa Jeshi.Haya mkuu.
Nimekuelewa.
anyway unaweza kuwasiliana nae ujue ukweli,lkn hata kama huyo ni komando basi atakuwa na matatizo,kwa jinsi ninavyoifahamu JWTZ,watu wa aina yake wengi wamefukuzwa Jeshi.
asakuta same una mikwara duh!
Ila kweli aje aste aste.
Maana kuna mpambano kati ya Mjeda mpya anaependa kiukweli Vs Mjeda wa zamani alieachia ngazi ingali bado anapenda
Siku hizi tunaitwa wajeda?
na kwa mwendo hii, sasa hivi itahamishiwa jukwaa lile la hapo juu, lol!Imetokea huko, ikaenda MMU na sasa iko LV.
Sema kaka.
Sema utoe la rohoni.
Wewe maliza course vizuri na unasifa zote za kuwa na Madame B, maana madame B anapenda watu ambao ni learner wa fani kama wewe. Atakupokea vizuri ni mwana Dar. Nakuhakikishia nafasi ya kuongea naye utapata mengine hayo sijui. Watu humu wanahasira na madame B, kwani kawapiga chini ndio maana wanaanza kukuchafua na kuleta lugha za matope mara hoo wanahoji usoja wako wakati wao hata mgambo hawajaenda.
MadameB hii ndiyo last chance ya mmuooja maana amefunguka sana mkaka wa watu hadi anatia huruma mMP fasta tafadhali.
ngoja tusubiri maana shosti mwaka huu nyota yako inawaka, lol!Hahaha FP usijali, wewe tena,lazima uwekwe kamati za mbele kbs.