measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,414
Shosti Madame B naona bwana Ben Saanane ameamua kunena yaliyo moyoni mwake....... Hureee! Na Yule mume uliyekuwa unampigia pasi juzi sijui itakuwaje
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenzi.
my love...nimekuja kukuchukua.Watu walikua wanakutolea mimacho na tamaa zao tu....
hahaha
hata wanenguaji twanga wananengua vizuri kweli ila ukifika 6*6 wanashindwa kuhimili mapigo.
yataka ujasiri babuu tena na utash kumtuliza mtu.
Haya sasa na jamaa aliyekuwa anapigiwa pasi juzi kalaghabao! Ben Saanane kajichukulia jumla.... Wengine walikuwa commitment phobia type of men
Hahaha!
Shoga angu huyo.
Tutakesha wote hata mi siondoki hapa hadi nisikie "i love u" na "i love u too"
nani huyo?? ukinzisha timbwili na mjeda wewe utakuwa poyoyo
ukimchana live mpenzi wako wa zamani wewe utakuwa miongoni mwa wale wanaume ambao ni majinga ya kuzaliwa
Nimesikia Somo angu,
yani hapa nina furaha ya ajabu.
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yaani anatumia TZ11? hahahahhaah! mie natumia TZ 04Kwa kuwa yeye anatembelea TZF 11, basi anajua kila mtu ana huo usafiri.
Watu siku hz twatembelea M4C 4.
Hahaha.
ndoo kitakuwa kikao changu cha kwanza cha sendoff kuhudhuria cha mwanachama wa jf na atakuwa mtu wa pili kuniona kuwa ahaa wewe ndoo mpitagwa. Mimi hisia zangu zinanituma kabisa kwamba hawa watu watafika mbali. Wapewe nafasi tu.
dhamira na ujasiri wa uthubutu nao ni muhimu sana!!!!!!!!!!!!
Copy kwa Ben SaananeNampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi natembelea jukwaa ili la MMU Ingawa sio mchangiaji saanaa, panapotokea ushauri natoa (lejea mada) kama ni Msichana na aujaolewa basi naomba nafasi japo ni fungue ukurasa mpya wa mapenzi nawe, na punde nitakapolejea Tz tuendelee next stage.
Kifupi makazi yangu yapo Monduri Arusha.. Niko china commando training course toka mwishoni wa mwaka wa jana nitapendeza univishe taji soon mwaka 2014 pale Ngerengere morogoro baada ya mafunzo ya miaka mingi ya ukomando na kuwa komando kamili nikimaliza salama mwakani na kupata nishani hiyo niliyoitafuta kwa muda mrefu cheo changu ni Luteni soon nitakua captan ukweli ni wakati sahihi wa mimi kuwa na familia sasa.
Madam B plz ni PM kweli naomba nafasi tuanzishe familia nzuri yenye amani na upendo wa dhati ili tusonge mbele kimaisha ingawa napenda sana mke ambaye sio mwanasiasa na kama mwanasiasa basi awe mpinzani nakupenda Madam B.
"Maisha yanawezekana ukiwa na Nia' ni PM kwa ukwel zaidi.
Hivi leo tar ngapi?