Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

nani huyo?? ukinzisha timbwili na mjeda wewe utakuwa poyoyo
ukimchana live mpenzi wako wa zamani wewe utakuwa miongoni mwa wale wanaume ambao ni majinga ya kuzaliwa


hilo somo nimeshampatia ,nadhani ameshaachana na hayo mambo ya vidole juu......... wanaume tunapaswa kuwa na high level ya utulivu kwenye haya mambo.....
 
Ndoo kitakuwa kikao changu cha kwanza cha sendoff kuhudhuria cha mwanachama wa JF na atakuwa mtu wa pili kuniona kuwa ahaa wewe ndoo Mpitagwa. Mimi hisia zangu zinanituma kabisa kwamba hawa watu watafika mbali. Wapewe nafasi tu.
 
Kwa kuwa yeye anatembelea TZF 11, basi anajua kila mtu ana huo usafiri.
Watu siku hz twatembelea M4C 4.
Hahaha.
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yaani anatumia TZ11? hahahahhaah! mie natumia TZ 04
 
ndoo kitakuwa kikao changu cha kwanza cha sendoff kuhudhuria cha mwanachama wa jf na atakuwa mtu wa pili kuniona kuwa ahaa wewe ndoo mpitagwa. Mimi hisia zangu zinanituma kabisa kwamba hawa watu watafika mbali. Wapewe nafasi tu.

kwani nani tena amewah kukuona??
 
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi natembelea jukwaa ili la MMU Ingawa sio mchangiaji saanaa, panapotokea ushauri natoa (lejea mada) kama ni Msichana na aujaolewa basi naomba nafasi japo ni fungue ukurasa mpya wa mapenzi nawe, na punde nitakapolejea Tz tuendelee next stage.

Kifupi makazi yangu yapo Monduri Arusha.. Niko china commando training course toka mwishoni wa mwaka wa jana nitapendeza univishe taji soon mwaka 2014 pale Ngerengere morogoro baada ya mafunzo ya miaka mingi ya ukomando na kuwa komando kamili nikimaliza salama mwakani na kupata nishani hiyo niliyoitafuta kwa muda mrefu cheo changu ni Luteni soon nitakua captan ukweli ni wakati sahihi wa mimi kuwa na familia sasa.

Madam B plz ni PM kweli naomba nafasi tuanzishe familia nzuri yenye amani na upendo wa dhati ili tusonge mbele kimaisha ingawa napenda sana mke ambaye sio mwanasiasa na kama mwanasiasa basi awe mpinzani nakupenda Madam B.

"Maisha yanawezekana ukiwa na Nia' ni PM kwa ukwel zaidi.
Copy kwa Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom