Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

hao wakata nyonga stejini ni kweli kabisa wengine hamna kitu ,wakishatua kitandai wanakuwa kama nyanya ,,,,,,,,ila sikuwa hilo kwa mtunga hadithi ,ndiyo nimeshajua.
Si mnaona sasa mmeanza kutoa ya Master bedroom!
 
Napenda unavyo-flow, anyway. Nikwambie kitu -- seriously? Usiku wa kuamkia leo niliota jina lako. Just that, sijui kwanini, but labda kuna tukio zuri ahead; na huenda likawa ndio hili ombi la jamaa. :A S-heart-2:

Kweli?
Basi itakuwa ni za huyu mjamaa.
 
Mi nilikuwa najua komandoo ni mtu jasiri na mvumilivu, kumbe kwenye maloveeeee hakuna uvumilivu!!!!!!
Yaani mwandiko wa Madame B umekuzingua, je ukiona sura yake si ndo ungechafua suruali hapo hapo!
 
Mi nilikuwa najua komandoo ni mtu jasiri na mvumilivu, kumbe kwenye maloveeeee hakuna uvumilivu!!!!!!
Yaani mwandiko wa Madame B umekuzingua, je ukiona sura yake si ndo ungechafua suruali hapo hapo!

Hahaha!
Hapana chezea utamu regan morgan.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom