Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ha ha ha!umejuaje?dugu moja hizo mtu.
Hawafai,waogope kama ukoma!
Kama wewe unaniogopa, kuna wenzako ndo washanibeba hvoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha!umejuaje?dugu moja hizo mtu.
Hawafai,waogope kama ukoma!
Si mnaona sasa mmeanza kutoa ya Master bedroom!hao wakata nyonga stejini ni kweli kabisa wengine hamna kitu ,wakishatua kitandai wanakuwa kama nyanya ,,,,,,,,ila sikuwa hilo kwa mtunga hadithi ,ndiyo nimeshajua.
Si mnaona sasa mmeanza kutoa ya Master bedroom!
We ndo umefikiria hvo.
Kama nimekuudhi, nisamehe.
Nahitaji kuachana na wewe kwa heri tu.
Ha ha ha ha!nimeipenda sana hii ,,,,,, imekaa kiutu uzima zaidi.
Ha ha ha!umejuaje?dugu moja hizo mtu.
Hawafai,waogope kama ukoma!
Umeona eeh!Mnaendana lkn, CHAI CHUNGU. Wewe unammwagia stori, naye anakupa vipande vitakavyokusaidia ktk next stori.
Msome gfsonwin amekujibu.
nimeipenda sana hii ,,,,,, imekaa kiutu uzima zaidi.
Napenda unavyo-flow, anyway. Nikwambie kitu -- seriously? Usiku wa kuamkia leo niliota jina lako. Just that, sijui kwanini, but labda kuna tukio zuri ahead; na huenda likawa ndio hili ombi la jamaa. :A S-heart-2:
Mnaendana lkn, CHAI CHUNGU. Wewe unammwagia stori, naye anakupa vipande vitakavyokusaidia ktk next stori.
Si mnaona sasa mmeanza kutoa ya Master bedroom!
Ha ha ha ha!
Kuna kitu kilikua kimenikaba kooni lol,lakini Kwa kicheko cha hii comment naona kimetoka,ila tayari ata kabla sijapost tayari kimerudi tena.
Umeona e.
Tulikuwa twasaidiana vizuri.
Kweli?
Basi itakuwa ni za huyu mjamaa.
Niko wapi hapa? Mbona hii thread imekaa kaa ki CC?
Mi nilikuwa najua komandoo ni mtu jasiri na mvumilivu, kumbe kwenye maloveeeee hakuna uvumilivu!!!!!!
Yaani mwandiko wa Madame B umekuzingua, je ukiona sura yake si ndo ungechafua suruali hapo hapo!