Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
::
Mkuu Ben Saanane
Baraka kwa wengine
Hukuinua hata wewe
Katika yako ufanikiwe
::
Kama yako yalikwama
Kwa wengine yatimia
Wengi Mola kawajalia
Omba nawe utapata.
::
Hata wasipofika mbali
Mitima itapata ahueni
Walau walitia niani
Ben Sanane siwe nabii
=
Namjua Madame B kwa kujishongondoa. Zali limwangukie mwingine ujiko ajitafutie yeye. Hebu msome Steve Dii hapo juu. Mwambieni Ben Saanane abadili jina awe saa tisa, kumeshakucha tayari ye analala tu.yeye anamtaka madamu B na ukiuliza haya wenzio wameshamalizana kwenye PM. UNALO BABUU!!!!!!!!!!
Hapo Red hapo inaonekana umeandika kwa hofu kubwa sana.....Sijui kwa kuwa si Mtanzania na unajua tumekushtukia Mkenya(mkalenjin)
Wewe tanganza hisia zako tu lakini kumbuka Madame B yeye anashukuru tu kupendwa na hajawahin kusema anakupenda pia.jifariji tu ilimradi usije ukajipiga risasi....
Mke wangu huyu nilimpenda kwa sababu ya ukarimu na upendo wake kwa kila mtu kwa hiyo courtesy ya kushukuru kupendwa ni kawaida.
NB: Wale waroho wanaosubiria ubwabwa,mnuso na nyama mezeni kisu.....
Nimewa-note down.
Wale mashemeji zangu wa Ukweli karibuni nyumbani weekend hii tumewaandalia kashughuli kadogo mimi kipenzi changu Madame B
CC: kiplagati26 kwa taarifa
Hahahaaa, acha wivu, bana. Nawe kachukue kozi ya ukomandoo Japan ili uilinde ngome yako.
Namjua Madame B kwa kujishongondoa. Zali limwangukie mwingine ujiko ajitafutie yeye. Hebu msome Steve Dii hapo juu. Mwambieni Ben Saanane abadili jina awe saa tisa, kumeshakucha tayari ye analala tu.
Pamoja sana shemeji..Nakoleza pasi ya mkaa ninyooshe gwanda leo natak nitoke chicha...si unajua mgawo wa umeme umekolea
Zion Daughter natamani tungeoana tu......Pamoja sana shemeji..Nakoleza pasi ya mkaa ninyooshe gwanda leo natak nitoke chicha...si unajua mgawo wa umeme umekolea
My boo,
Tetra mganga wa kienyeji....ha haha::
Mkuu Ben Saanane
Baraka kwa wengine
Hukuinua hata wewe
Katika yako ufanikiwe
::
Kama yako yalikwama
Kwa wengine yatimia
Wengi Mola kawajalia
Omba nawe utapata.
::
Hata wasipofika mbali
Mitima itapata ahueni
Walau walitia niani
Ben Sanane siwe nabii
=
Hivi wale watoto wako 2 wa nje ulishawachukua kwa mama zao?maana sheria inaruhusu sasa uwachukue,Na yule deme muuza mtori pale Sakina hivi alijifungua mtoto gani?
Alafu yule deme wa siku zileee mafika wakati tuko coz si unamkumbuka?alishaga kufa kwa ngoma!
Alafu huyo unayemfukuzia sasa hutamuweza bora uachane na mpango huo,ana tabia ya kuhama hama kama MREMA.
Tetra mganga wa kienyeji....ha haha
Mbegu wanaziandaa, wapate kujipandia,
Chini zitaozea, na baadhi kuchipua,
Kwalo wakajisifia, watu wawasaidia,
Ukiona vyachipua, sio vyote huchanua!
Halali watakimbia, haramu wakachukua,
Na wakija kugundua, muda umeshapotea,
Laiti sasa ikawa, kitu kisichotokea,
Ukiona vyachipua, sio vyote huchanua!
Afu kakangu wewe Erickb52!
Mbona unapenda kuniwekea kauzibe?
Asa unataka niendelee kukaa hapo nyumbani mpaka lini?,kila siku wewe na kaka Mungi mnaniambia nitafute bwana niolewe,leo amepatikana we nawe unakwenda vice versa,nitarudi home hapo afu tuje kuendelea kubanana kwenye ugali wa kengele....Ohoooo!!!!!
Unazidi tu kujichoresha hapa!!!!
kinachonishangaza kama unamzimia hivi kilichokufanya uje kujishongondoa hapa kuwa humtaki ni nini sasa??
ha ha ha au ulikuwa unatingisha kiberiti pole sana!!!!!!!
Ndo hapo ninapomshangaa mimi.
Hiki ni kirusi tu bora Mungu kakuepushia kwakweli....