Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Hv Bishanga, una ajenda gani ya siri na CHAI CHUNGU?
Kumbe kaniacha huku bado ananipenda ee?
Na bado!
Mwaka wake huu.
Atakula ugali kwa picha ya samaki.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu we acha,huyu demu kanichanganya kichwa yangu ata sijui hapa nilipo ni nchi gani aise!

Upo kwa sheikh maeneo ya kojhani pemba,we tulia usiogope Madame B atakufuata mwenyewe akitambaa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa unataka nisije?
Ukileta noma kwani nabembeleza?
Naachana na dada yako nabaki zangu na Amyner wangu siunajua ninavyompenda aisee

Unakata mti unapanda mti....haya bana faidi ujana wako uzee waja wenzio siku hizi kazi yetu ni kusema 'nguruwe pita sina mshale'.
 
Last edited by a moderator:
Danganyaneni wewe na Tetra wako huyo.

Tulizana Bishanga
Meli haijatia nanga
Acha kuwatia panga
Kama mola kapanga
Hakuna wa kupinga
Wivu hauna tunda jema.
 
Last edited by a moderator:
Watu bana! wanakua na majina mengi kama matapeli ili wawahadae watu ili wakubalike zaidi hapo changa la macho tumewajua matapeli wa mapenzi humu ndani huyo huyo utamsikia anatafuta mchumba leo ameona kakosa anaanza kujisifias ili apate wakumtapeli kuweni makini na hawa watu Naomba kuwasilisha maoni yangu
 
::
Hongera Madame B
Umeonyesha ujasiri
Upendo huu wa hiari
Usafiri kwa tamathali
Uwafikishe mbali
Mshinde vingi vizuizi
Umtunze mpiganaji
Usitusahau Jf
::
Mpiganaji Kiplagati
Umejibiwa lako ombi
Uikumbuke tofauti
Ya jeshini na chumbani
Usimpigie bunduki
Bali kitenge marashi
Usitusahau Jf
::
Mpendwa gfsowin
Endeleza maandalizi
Uzipange zote kamati
Kwa ustadi na ufundi
Love connect imetii
Imeunganisha wawili
Katika hizi kamati
Usitusahau Jf
::
Wenye wivu mioyoni
Acheni kupiga ramli
Mtaumbuka hadharani
Mtaadimika jukwaani
Iliandikwa mbinguni
Duniani tuache ujuzi
Usitusahau Jf
::
Baraka nawaombeeni
Watoto mpakateni
Kupenda kama mauti
Asiwepo kuwatengeni
Mfike kilele uzeeni
Maendeleo yapateni
Mola awafute chozi
Tetra nawaageni.
=
Tetra nimekuona ....

Haya mashairi yoote haya utayameza soon.....
 
Last edited by a moderator:
one love u miss u guys siku njema salamu home

Hapo Red hapo inaonekana umeandika kwa hofu kubwa sana.....Sijui kwa kuwa si Mtanzania na unajua tumekushtukia Mkenya(mkalenjin)

Wewe tanganza hisia zako tu lakini kumbuka Madame B yeye anashukuru tu kupendwa na hajawahin kusema anakupenda pia.jifariji tu ilimradi usije ukajipiga risasi....

Mke wangu huyu nilimpenda kwa sababu ya ukarimu na upendo wake kwa kila mtu kwa hiyo courtesy ya kushukuru kupendwa ni kawaida.

NB: Wale waroho wanaosubiria ubwabwa,mnuso na nyama mezeni kisu.....

Nimewa-note down.

Wale mashemeji zangu wa Ukweli karibuni nyumbani weekend hii tumewaandalia kashughuli kadogo mimi kipenzi changu Madame B

CC: kiplagati26 kwa taarifa
 
Last edited by a moderator:
Tetra nimekuona ....

Haya mashairi yoote haya utayameza soon.....

::
Mkuu Ben Saanane
Baraka kwa wengine
Hukuinua hata wewe
Katika yako ufanikiwe
::
Kama yako yalikwama
Kwa wengine yatimia
Wengi Mola kawajalia
Omba nawe utapata.
::
Hata wasipofika mbali
Mitima itapata ahueni
Walau walitia niani
Ben Sanane siwe nabii
=
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom