CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu!Asa mnataka niolewe na nani?
Basi nioeni nyie kaka zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu!Asa mnataka niolewe na nani?
Basi nioeni nyie kaka zangu.
Kwahiyo utakifata kibwana chako china?Hv Bishanga, una ajenda gani ya siri na CHAI CHUNGU?
Kumbe kaniacha huku bado ananipenda ee?
Na bado!
Mwaka wake huu.
Atakula ugali kwa picha ya samaki.
Danganyaneni wewe na Tetra wako huyo.Hapo kwa hzo bold Tetra,aminia we kichwa aisee.
Hapo kwa Blue,naidedicate kwa CHAI CHUNGU.
Hapo kwa red,
Inshallah, Amiin, Amiin, Amiin.
Asante Mpendwa Tetra, Utenzi wako nimeupenda sana.
Asante.
Poa mkuu ngoja sasa hivi nitulie.
Kwenye PM sijakuelewa vzr,umesema niandae njiwa mweupe na nini vile? twende
Hahahahaaaa unataka nisije?
Ukileta noma kwani nabembeleza?
Naachana na dada yako nabaki zangu na Amyner wangu siunajua ninavyompenda aisee
Teh teh teh teh.Na sisimizi mwenye mimba ya twins.
Teh teh teh!tumaini jipya!Upo kwa sheikh maeneo ya kojhani pemba,we tulia usiogope Madame B atakufuata mwenyewe akitambaa.
Jiangalie sana.....
Naomba unipe maelezo wifi.
Inakuwaje mtu na shemeji yake mnaongea hapa sebleni mpaka usiku mnene hv.
Ben Saanane,si nishakukataza hyo tabia!
The Pen,Hahahaaa, acha wivu, bana. Nawe kachukue kozi ya ukomandoo Japan ili uilinde ngome yako.
Bishanga ha ha ha sijawahi kumuita gfsonwin shem wa ukweli.Umechanganya na Zion Daughter measkron au Evelyn Salt ha haaKopi: Ben Saanane.....kikulacho ki nguoni mwako....we si ulimwona gfsonwin mwema kwako? Kumbuka mlivyokuwa mnaitana shem wa ukweli....kiko wapi ben?
The Pen,
Mapenzi yana nguvu....unaweza ukawa na uwezo ambao haukua nao ghafla.Jaribu uone...hahah usinipe BAN tu
Tetra nimekuona ....::
Hongera Madame B
Umeonyesha ujasiri
Upendo huu wa hiari
Usafiri kwa tamathali
Uwafikishe mbali
Mshinde vingi vizuizi
Umtunze mpiganaji
Usitusahau Jf
::
Mpiganaji Kiplagati
Umejibiwa lako ombi
Uikumbuke tofauti
Ya jeshini na chumbani
Usimpigie bunduki
Bali kitenge marashi
Usitusahau Jf
::
Mpendwa gfsowin
Endeleza maandalizi
Uzipange zote kamati
Kwa ustadi na ufundi
Love connect imetii
Imeunganisha wawili
Katika hizi kamati
Usitusahau Jf
::
Wenye wivu mioyoni
Acheni kupiga ramli
Mtaumbuka hadharani
Mtaadimika jukwaani
Iliandikwa mbinguni
Duniani tuache ujuzi
Usitusahau Jf
::
Baraka nawaombeeni
Watoto mpakateni
Kupenda kama mauti
Asiwepo kuwatengeni
Mfike kilele uzeeni
Maendeleo yapateni
Mola awafute chozi
Tetra nawaageni.
=
one love u miss u guys siku njema salamu home