Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu


Hahaha!
Tetra bhana.
Wan'kosha sana.
Mmwagie mashairi Ben Saanane akujue wewe nani.
Chezea wahenga.
 
Last edited by a moderator:
The Pen,

Mapenzi yana nguvu....unaweza ukawa na uwezo ambao haukua nao ghafla.Jaribu uone...hahah usinipe BAN tu

Mbona wajishuku?
BAN na utenzi wapi na wapi ewe wangu mahabuba?
Kha!
 
Last edited by a moderator:
yeye anamtaka madamu B na ukiuliza haya wenzio wameshamalizana kwenye PM. UNALO BABUU!!!!!!!!!!
Namjua Madame B kwa kujishongondoa. Zali limwangukie mwingine ujiko ajitafutie yeye. Hebu msome Steve Dii hapo juu. Mwambieni Ben Saanane abadili jina awe saa tisa, kumeshakucha tayari ye analala tu.
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana shemeji..Nakoleza pasi ya mkaa ninyooshe gwanda leo natak nitoke chicha...si unajua mgawo wa umeme umekolea
 
Last edited by a moderator:
Namjua Madame B kwa kujishongondoa. Zali limwangukie mwingine ujiko ajitafutie yeye. Hebu msome Steve Dii hapo juu. Mwambieni Ben Saanane abadili jina awe saa tisa, kumeshakucha tayari ye analala tu.

Hahaha! Kisu kimekufika mfupani.
Na bado, ulijipa matumaini Leo Tupo Hapa Pub, ukajua nitakuwa wako.
Kanoe tena kisu chako,afu ndo uje.
Huyoooo
 
Last edited by a moderator:
Tetra mganga wa kienyeji....ha haha

Mbegu wanaziandaa, wapate kujipandia,
Chini zitaozea, na baadhi kuchipua,
Kwalo wakajisifia, watu wawasaidia,
Ukiona vyachipua, sio vyote huchanua!


Halali watakimbia, haramu wakachukua,
Na wakija kugundua, muda umeshapotea,
Laiti sasa ikawa, kitu kisichotokea,
Ukiona vyachipua, sio vyote huchanua!
 
Last edited by a moderator:

Unazidi tu kujichoresha hapa!!!!
kinachonishangaza kama unamzimia hivi kilichokufanya uje kujishongondoa hapa kuwa humtaki ni nini sasa??
ha ha ha au ulikuwa unatingisha kiberiti pole sana!!!!!!!
 

::
Nimekupata Beni
Jicho lionalo mbali
Hali nguvu ya moyoni
Madame na Kiplagati
Mioyo imeshinda akili
Tuwaache wasafiri
::
Miti inapochipua Jf
Litupasalo ni wajibu
Kumwagilia bila wivu
Upendo zawadi adimu
Haipendezi kukashifu
Tuwaache wasafiri
::
Tuwabariki kwa moyo
Lete yote yatupasayo
Tuijenge ndoa yao
Baraka zisiwe mgao
Kama wa Tanesco
Tuwaache wasafiri
::
Madame B sikiliza
Ukiona wapingwa
Usirudi huku nyuma
Hizo ni dalili njema
Kuwa utafanikiwa
Umeanza vema jua
Mcha bahari ni mwoga
Tuwaache wasafiri
=
 
Last edited by a moderator:

Hivi unafahama kwamba kiplagati26 ni msonjo? shauri yako hohoooo!!!!
copy: Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Unazidi tu kujichoresha hapa!!!!
kinachonishangaza kama unamzimia hivi kilichokufanya uje kujishongondoa hapa kuwa humtaki ni nini sasa??
ha ha ha au ulikuwa unatingisha kiberiti pole sana!!!!!!!

Ndo hapo ninapomshangaa mimi.
 
Sasa kamanda nisawa wewe n komandoo ila umeharibu kusema ni komandoo wa kichina. we si unajua wachina walivo magumash?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…