Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

hivi Asprin wewe ni baba kabisaa wa watoto wawili na mke kabisaa ama??
yumkini uzee wako unakurudisha ujanani mweeeeeeeeeeeeeh!

umeanza sasa kuchakachua uzi wa watu......................ama sijui ni nguvu ya guiness hii ama konyagi.
huko fyatanga kuna mambo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha wewe bana, fyatanga na kwaresma hii? Niko kikazi zaidi.... Mimi ni baba bora wa familia.

 
He he he he....nafurahi sana kukumbukwa nawe Bishanga. Sijambo,namshukuru Mungu. Natumai u mzima pia!! :A S shade:

Mi mzima Michelle,vipi nguli wa mashairi hajambo? Mshapata mtoto?
 
Last edited by a moderator:
Vipi gfsonwin umeanza kupata mafeeling kwa mzee wa upako Asprin?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…