Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

weraaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu tunataka kula pilau la harusi sasa tunachopoteza muda kitu gani??

kashindwa CHAI CHUNGU mjeda kaingia na huyu nae akileta za kuleta mwingine ataingia kwan nini bana kuzeeshana watu mkiwa watt??

Hehehe!
Mwanamke matunzo babu we.
Mshahara wangu mie,kama unanitaka we tumia wako unipendezeshe.
Nimetoka kwa wazazi wangu niko Ng'ari ng'ari,ya nini nije kupaukia kwako!
Mwambieni anipishe mie mipumuwe.
 
Last edited by a moderator:
Ndo hapo pakushangaa sasa.
Kuna watu hawalali mpaka waone Comments zangu,lakini wengine....patupu.

halafu huyu jamaa anaonekana kucheza na nguvu ya umma....... anashindwa vipi kuelewa service yako inahitajika na public?

aache ubinafsi ,yaani furaha yake mtu mmoja ikoseshe maelfu ya raia furaha , , , ,kweli kama humfeel tena tupa kule ,hata siwezi kumtetea ati!!!!!!
 
Ndo nishamtupa.
Mie ndo nshaamua hvo.
 
Back
Top Bottom