Jamani!!! [emoji126] [emoji133] [emoji126] [emoji133]Watoto wangu nyiee
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mimi baba yenu
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sina nguvu tena
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Za kuua simba
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Simba ni mkali
Eeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aliua bibi
Eeeeeeeeeee
Akaua babu
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Akaua mjomba
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Akaua Shangazi
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Simba huyooookoooooooo
Haya watoto wangu wooooteeee kimbilieni kwangu vuuuuuuuuuuuuuuuupp kwa baba
Hizi ndio lyrics zake jiangalie mlikuwa mnaimbaje sasa utoton
By so by love to baby
(I swore I love you baby)
To baby to the sa
(You gave that to the sun)
The saa to de yona
(The Sun threw me yonder)
The yona to de meh
(And yonder I became a man)
De meh phude phude
(And then I grew threw that)
Ha ha ha ha embu weka lyrics zenu sasa tuone
Mi sijaimba sana..Zangu Kombolela na Kibaba baba[/QUOTE]Hahaha lol
Kumbe nawewe uliimba???
Safi sana
Akimuimbia mwingine unapingua anakua sio rafiki yako hata ukinunua kitu haumpi nakwanza haumuongeleshi
Ndo unavyoimbwa kote nadhani!!!Byshoo sisi tulikua tunaimba huku tunacheza mikono wawili wawili
Hahaahaha
nasaka mke wanguuu
nasaka mke wanguu
hapa hayupo
hapa hayupo
kaenda wapi
kaenda wapi
kaenda kusuka kaenda kusuka
kwa binti nani kwa binti nani
kwa binti juma kwa binti juma
Huu mti gani(Wa mchongoma)
Nikiukata(haukatiki)
Hata kwa panga(haukatiki)
Hata kwa shoka(haukatiki)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha umeimba vile vile kama sisi tulivyokuwa tunaimba halafu huo mwimbo ulikuwa ukiujua unaringa mtaa mzimaHuu pronunciations sasa kila mtoto anaeza imba kivyake ilimradi sauti zinaelekeana
Baishoo I love you bebii
Ze bebii to ze saaaaa
Ze saaaa to ze yonaa
Ze yona to ze miiii
Ze miiii to tu ze two zera
Zera one two three four
Zera one two three four
Kata kona zera one two three
Zera one two three
Kata kona zera one two
Zera one two
Kata kona zera one zera one baishooooooo
Utoto raha sana
Hahaha
Teh teh teh! Za kilugha hawataelewa.Wewe utotoni hujaimba??
Hata za kiluga chenu??
Ukuti ukuti wa Nazi wa Nazi...dah malizia mahondawMie teinaaaaaa hebu nikumbushe ni
Wimbo gani niuimbe hapa nikishindwa pap atanisaidia
Mi wa english medium nilikua najitahidi kupatia tumaneno [emoji23][emoji23][emoji23]
Bysho I love you baby
To the baby to the saa
The sa to the yona
To the yona to the mi
The mi to the pushdea
Terewa tu triii fo
Terewa... Takata kona!!!