Nampenda mpendaaa!

Nampenda mpendaaa!

Bilingee bayoyo bilinge bayoyo namuna dada yule aje hapa aingie kati aonyeshe manjonjo yake bingili bingili mpaka chini..

Nilikuwa naipenda stage ya bingili bingil maana vidada vinashika viuno vyenyewe vinakatika mpaka chinidaah utoto raha sana.
 
Hahaaaaaa uwiiiii those days raha saana
 
Bilingee bayoyo bilinge bayoyo namuna dada yule aje hapa aingie kati aonyeshe manjonjo yake bingili bingili mpaka chini..

Nilikuwa naipenda stage ya bingili bingil maana vidada vinashika viuno vyenyewe vinakatika mpaka chinidaah utoto raha sana.

I never miss that mie teinaaa lol
Huku tunaimba kwa pozi fulani hivi wakati wa bingili bingili tunakatikaaa

Utoto raha sana
 
Paprika said:
Suadiiiiiina!

Suadiiiiiiina!!!

Nampenda suadina, sudina, suadinaaa

Mama yake namjua, namjua, namjuaaa

Anauza vitumbua, vitumbua, vitumbuaaa

.......... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha nilitaka kushangaa Paprika nisingekuona hapa
Hapo mwisho tulikua tunamalizia
Kama karatasi peeppea
Kama kitenesi dundika
Unapepea huku unadunda dah

Utoto raha sana
 
Suadiiiiiina!

Suadiiiiiiina!!!

Nampenda suadina, sudina, suadinaaa

Mama yake namjua, namjua, namjuaaa

Anauza vitumbua, vitumbua, vitumbuaaa

.......... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tako moja kaungua,kaunguaaaaaa
kama karatasi pepeaaaa
kama nailoni yeyukaaaa
kama ni mpira dundikaaaaa
haunitishitishi ule mpango
vipi tuliopanga juzi
kule kichochoroniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaahhahahaahahahahaha
Nimeamini manic unanifurahisha sana. Unajua kuimba shoga Safi sana yani dah

Utoto raha sana
 
Naule wa nana unaukumbuka??
Nanananana nanaa
nana ingia kati nana
ujiremberembe ujikunekune
mchezo wa solo
okota maganda peleka
ulaya yamepanda bei
sukuma waaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23]
 
Bysho I love you baby
To the baby to the saa
The sa to the yona
To tge yona to the mi
The mi to the pushdea
Terewa tu triii fo
Terewa... Takata kona!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akianani!!! Tulikua tunaimba utumbooo

Bysho i love you baby (I swore I love you baby)
The baby to the sa (You gave that to the sun)
The saa to de yona (The Sun threw me yonder)
 
Back
Top Bottom