Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Na wewe chagua tu wa kwako usjalWatu na watu wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe chagua tu wa kwako usjalWatu na watu wao.
We una groapKuku kapanda baiskeli
Hahaaaaaa uwiiiii those days raha saanaBilingee bayoyo bilinge bayoyo namuna dada yule aje hapa aingie kati aonyeshe manjonjo yake bingili bingili mpaka chini..
Nilikuwa naipenda stage ya bingili bingil maana vidada vinashika viuno vyenyewe vinakatika mpaka chinidaah utoto raha sana.
Bilingee bayoyo bilinge bayoyo namuna dada yule aje hapa aingie kati aonyeshe manjonjo yake bingili bingili mpaka chini..
Nilikuwa naipenda stage ya bingili bingil maana vidada vinashika viuno vyenyewe vinakatika mpaka chinidaah utoto raha sana.
[emoji23][emoji23]Halafu unakuta uliyemuimbia hivyo ikifika zamu yake anamuimbia mtu mwingine..Unabaki unaduwaa tu
GROAP la aina gani????Mwenye GROAP LA WhatsApp aniunge 0767344840
Acha kabisa mnakatika wenyewe mnajiona Hakuna kama nyie ha ha haI never miss that mie teinaaa lol
Huku tunaimba kwa pozi fulani hivi wakati wa bingili bingili tunakatikaaa
Michezo au LA mada mbalia mbaliGROAP la aina gani????
Paprika said:Suadiiiiiina!
Suadiiiiiiina!!!
Nampenda suadina, sudina, suadinaaa
Mama yake namjua, namjua, namjuaaa
Anauza vitumbua, vitumbua, vitumbuaaa
.......... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tako moja kaungua,kaunguaaaaaaSuadiiiiiina!
Suadiiiiiiina!!!
Nampenda suadina, sudina, suadinaaa
Mama yake namjua, namjua, namjuaaa
Anauza vitumbua, vitumbua, vitumbuaaa
.......... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha ahaha basi nakubaliKazini yupo bize sana hapati kabisaa muda wa kuongea hata na secretary wake
Tako moja kaungua,kaunguaaaaaa
kama karatasi pepeaaaa
kama nailoni yeyukaaaa
kama ni mpira dundikaaaaa
haunitishitishi ule mpango
vipi tuliopanga juzi
kule kichochoroniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nanananana nanaaNaule wa nana unaukumbuka??