bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
Katika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA haswa.
WAKUU plizi Niko NJE ya muda kwa kifupi mi ni mlala hoi ILA nimependa kama NYIE mnavo penda hisia ZANGU kwa TEMS msanii WA nijeria ni KUBWA SANA. hazi simuliki mi SIO star SINA PESA JE nitumie mbinu GANI KUMPATA makazi YANGU kwa SASA ni unguja.