Nampenda Msanii Tems kutoka Nigeria, nampataje?

Nampenda Msanii Tems kutoka Nigeria, nampataje?

Umezoea kuoa wanawake wa bei rahisi .........hao wapo tanga na Morogoro.....jaribu huko shehk
HAMNA sheikh hakuna kinacho shindikana naamini humu tukizichanga fresh fikra tuna mchukua asubuhi TU tumeweza kuwapeleka mkukuu viongozi wetu WA nchi tushindwe hicho kitoto never SI jamii forum nayo ijua


Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Aiseeeeeee
Dada FANYA JAMBO hutaki wifi ka HUYO nakuahidi SIKU ya harusi TAKUPA kadi dada back to back nijeria na bongo.


Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Tems mzuri sana
Kaka JAMAA YANGU alishangaa AKADAI ETI ni mweusi nikamwambia sikila MTU anapenda weupe mi NAPENDA weusi na TEMS ni chaguo NAMBA MOJA NIKI fail kwa Miaka nilo weka naowa mbongo mwenzangu najiondoa jamii forum MANA itakuwa imeni prove HAMNA KIPYA HAMNA wazee WA mbinu humuu

Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
bro alex connector wa hizi kazi ni huyu hapa njoo chap 😂
MMkuu hili JAMBO ni serious SIO masihala mjue tatupia picha YANGU hapa soon ILI mnishauri kipi niboreshe kuendana na mtoto SHIDA mi SIO sharobaro NIKI fikiria nachokaaa


Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
MMkuu hili JAMBO ni serious SIO masihala mjue tatupia picha YANGU hapa soon ILI mnishauri kipi niboreshe kuendana na mtoto SHIDA mi SIO sharobaro NIKI fikiria nachokaaa


Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
Sasa nani katania mtu amesema ana namba yake muulize kama kwel akutumie umchek tems wako

Wale muhimu hela tu usharo sio sana
 
WAKUU Niko chini yenu naombeni mnishitulie wadau WENGNE sijapata mbinu NAONA WATU wana leta masikhara SIO POA kabisa WAKUU huu SI ujinga Wala ushambaa hapana hata maandiko yameidhinisha kuoa SA NAKOSA GANI Mimi kumchagua ninae mpenda WAKUU


Kwishaaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Hakuna tampata ILA TACHELEWA inshallah sijawahi kazia KITU nka fail never HII ITAKUA first time


Kwishaaaa


Bro Alex on da beats yoow
All the best mkuu,
Ila Mimi nilikua na wazo kwann usijipe challenge kwanza uone kama utafanikiwa ukianza huo mtihani mkuu,
weka target waziri Mmoja wa serikali ya mama umtafune,mwishmiwa mbunge mmoja,mkuu wa mkoa Mmoja,ceo Mmoja wa taasisi nzito,mke labda watajiri mkubwa jipe challenge kwanza uone ka ukitoboa yeyote apo bas hata iyo utatoboa.
 
Sasa nani katania mtu amesema ana namba yake muulize kama kwel akutumie umchek tems wako

Wale muhimu hela tu usharo sio sana
Sasa mkuu unazani NIKTUMIa mbinu ya kumhonga TEMS tafanikiwa? Big no HAPO nijeria Kuna wazee wakina obo wakina adeleke wana HELA balaa unazani nitaweza kushindana NAO. Nacho tegemea kwangu ni saundi tuuuuuu. Hapa saundi tuuu


Kwishaaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Sasa mkuu unazani NIKTUMIa mbinu ya kumhonga TEMS tafanikiwa? Big no HAPO nijeria Kuna wazee wakina obo wakina adeleke wana HELA balaa unazani nitaweza kushindana NAO. Nacho tegemea kwangu ni saundi tuuuuuu. Hapa saundi tuuu


Kwishaaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
Mkuu kama ni sound tu itakuwa ngumu kumpata hata kajala masanja wa DAR 😂😂😂

Ila kikubwa imaan
 
Mkuu kama ni sound tu itakuwa ngumu kumpata hata kajala masanja wa DAR 😂😂😂

Ila kikubwa imaan
Usiwaze kaka KILA MTU na bahati yake. Huyo nampata LABDA nihairishe mbinu kibao na zote HAMNA kuongea. Nikisema kumhonga atani DHARAU SANA


Kwishaaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Katika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA haswa.

WAKUU plizi Niko NJE ya muda kwa kifupi mi ni mlala hoi ILA nimependa kama NYIE mnavo penda hisia ZANGU kwa TEMS msanii WA nijeria ni KUBWA SANA. hazi simuliki mi SIO star SINA PESA JE nitumie mbinu GANI KUMPATA makazi YANGU kwa SASA ni unguja.
Hiyo mbona simple tu!
Tafuta mganga mzuri ambaye anatumia uchawi aina mbili huku ndumba huku kitabu
Yaani inapigwa dua mixer ndumba yule mrembo atakuja mwenyewe mpaka kwenu Buza kwa Mparange kukuulizia
 
Usiwaze kaka KILA MTU na bahati yake. Huyo nampata LABDA nihairishe mbinu kibao na zote HAMNA kuongea. Nikisema kumhonga atani DHARAU SANA


Kwishaaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
Ila yule mtoto mkali kaka pambania kombe hilo hueshimishe taifa
 
Hiyo mbona simple tu!
Tafuta mganga mzuri ambaye anatumia uchawi aina mbili huku ndumba huku kitabu
Yaani inapigwa dua mixer ndumba yule mrembo atakuja mwenyewe mpaka kwenu Buza kwa Mparange kukuulizia
Kaka hapa bongo Kuna waganga kuwazidi wanijeria? Hahah LABDA nijeria ya kna mshana jr. Wale ni wachawi haswa temz na hakika ana chale MPAKA KWENYE naniliuu MPAKA HAPO tusha feli mkuu mbinu nyingine pliz


Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Nenda kawalipe roc nation bilioni 200 ya Tanzania wanakupa bure na nyongeza ya under ground mmoja..............maana mikataba waliyomvisha sijui kama hata busu utaluusiwa kupiga.........yaani hata akisikia nyege jay z tu ndio mwenye mamlaka ya kumdinya na sio mwengine haruhusiwi kuongea na media wala kutoka toka hovyo.......wala kupigwa picha yeyote yaani yuko chini ya menejiment nzito balaaaa jamaa wamekamia mpaka na mavazi wanampa wao..........hakuna kula cha mtu wala kuchukua chochote kutoka popote mpaka wampe ruhusa wao...........
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom