bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
- Thread starter
- #41
Usiwaze maombi TU mkuu. WATU wanazani natania ILA mi nmedhamiria mkuu kama ni vita NSHA vaa gwanda na bunduki mkononi. NINGE mtumia zuchu NILIMUONA NAE kipindi kile zanzibar KWENY tuzo ILA mi SIO star mkuu tamupata wapi pia hawezi hata nisikilize hivo nakomaa mwenyewe kimungu saidiaIla yule mtoto mkali kaka pambania kombe hilo hueshimishe taifa
Kwishaaaaaa
Bro Alex on da beats yoow