bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
- Thread starter
- #61
Hahahaha katika vita NILIZO pambana na nikashindwa HII ni nyepesi sns LABDA niamue kiacha mwenyewe. HUYU TEMS nafahamu pakumpata naweza jua Leo YUKO wapi naweza tuma ujumbe akauona HAPO Kuna KAZI,? Sasa nilisha wahi kumfukuza Dem SIJUI KWAO SIJUI hata jna analo tumia mitandao ya kijamii SIJUI uraia wake MANA tulikyan KWENY inshu za utalii MWISHO WA picha niliibuka staring WA muvii kibabe nikajilia VYANGU bila bughudhaEndelea kuota😂
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow ........... Jah iz really