Nampenda Msanii Tems kutoka Nigeria, nampataje?

Nampenda Msanii Tems kutoka Nigeria, nampataje?

Endelea kuota😂
Hahahaha katika vita NILIZO pambana na nikashindwa HII ni nyepesi sns LABDA niamue kiacha mwenyewe. HUYU TEMS nafahamu pakumpata naweza jua Leo YUKO wapi naweza tuma ujumbe akauona HAPO Kuna KAZI,? Sasa nilisha wahi kumfukuza Dem SIJUI KWAO SIJUI hata jna analo tumia mitandao ya kijamii SIJUI uraia wake MANA tulikyan KWENY inshu za utalii MWISHO WA picha niliibuka staring WA muvii kibabe nikajilia VYANGU bila bughudha


Kwishaaaaa


Bro Alex on da beats yoow ........... Jah iz really
 
tafuta mbantu mwenzio mtengeneze acha na ndoto za alinacha,zipo pisi bongo zimetulia
 
Sihitaji hata mia
0767836362
Ushindwe wewe.
 
tafuta mbantu mwenzio mtengeneze acha na ndoto za alinacha,zipo pisi bongo zimetulia
Nashukuru Sana kwa USHAURI . Kumbe jux ange KUJA kukuomba USHAURI nawe unge mshauri hivo? kwa Nini unasema NDOTO za alinacha umedharau? Ume puuzia? MBONA wadau WENGI TU wameoa wazungu hawakuwaona HAO wabantu. SIJAja kuomba USHAURI WA maamuzi nmeomba mbinu jitahidi uelewe JAMBO kabla ya kushauri mkuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Kwishaaaaa


Bro Alex on la beats yoow............ Jah iz really
 
Sihitaji hata mia
0767836362
Ushindwe wewe.
Yesss Hahahaha mkuu hayo NDO mambo NAPENDA SASA NGOJA nijaribu ILA MBONA Kodi za NAMBA ni za kibongo mkuu anyway🙏🙏🙏


Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow.................. Jah iz really
 
Yesss Hahahaha mkuu hayo NDO mambo NAPENDA SASA NGOJA nijaribu ILA MBONA Kodi za NAMBA ni za kibongo mkuu anyway🙏🙏🙏


Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow.................. Jah iz really
Hujui kama ana Nyumba Masaki hua anakuja kusikilizia one time?
 
Hujui kama ana Nyumba Masaki hua anakuja kusikilizia one time?
Kaka UNANI nywesha chai bhana unataka kunitapel HADI mi NDUG Yako kweliiiiiii


Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow........... Jah iz really
 
Kaka UNANI nywesha chai bhana unataka kunitapel HADI mi NDUG Yako kweliiiiiii


Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow........... Jah iz really
Shida yako huna iman, machimbo yote nayajua mimi.
 
bro alex mke wetu huyu hapa 🥰
1753390551893.jpg
 
Shida yako huna iman, machimbo yote nayajua mimi.
SAWA KAKA Sito kiangusha ACHA nimsakue tuyajenge SIO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏


Kwishaaaa


Bro Alex on da beats yoow ....... Jah iz really
 
Jack Nimeshangazwa na JAMAA YANGU ETI ANAMPONDA. HIVI ni lazima KILA MTU awe demu mweupe? mi ni tofauti wanawake weusi wannanipa msisimko mkuu. Akiji cream TU napga chin mkuu hahahahaha

Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow ................. Jah iz really
Harmful umenikumbusha mbali mkuu harmful substances heshima kwako mkuu ili jina limenipa kumbukumbu KUBWA SANA nmewakumba classmate wenzangu ktamboo

Kwishaaaaaa


Bro Alex on la beats yoow............ Jah iz reallly
 
SIJAJUA ila ikishindikana tatafuta mbongo mwenzangu. VIPI UNASOMAJE HAPO ukiziba NAFASI ya TEMS? MANA HUYO alivo Saini rock nation ya jay z TU, NILIONA hatuto wezana.


Kwishaaa
Mh! Umehamia kwangu tena😂😂
 
Usiwaze I'd zenyewe feki hizi. YANI huwa nkajifikiria basi TU mi nabandika lipicha LANGU halisi kwa KWELI mambo ya I d feki huwa sikubalian nayo


Kwishaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom