WAKUU humu nmeaminishwa KNA watoto WA MJINI kweli tumeshindwa kuchomoka hapa WAKUU. Pliz mawazo yenu tafadhaliKatika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA haswa.
WAKUU plizi Niko NJE ya muda kwa kifupi mi ni mlala hoi ILA nimependa kama NYIE mnavo penda hisia ZANGU kwa TEMS msanii WA nijeria ni KUBWA SANA. hazi simuliki mi SIO star SINA PESA JE nitumie mbinu GANI KUMPATA makazi YANGU kwa SASA ni unguja.
Mkuu Nisha pambana haswa imekua NGUMU MPAKA kuona NALETA JAMBO hapa Nku tafuta njia zingine mi NME fail mkuuu🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏Mcheki dm mkuu muelezee feelings zako kwake anaweza kukujibu hata kwa bahati mbaya mwisho mkawa mke na mume kweli
Hz ni ndoto za mchanaMcheki dm mkuu muelezee feelings zako kwake anaweza kukujibu hata kwa bahati mbaya mwisho mkawa mke na mume kweli
Hapana ILA ALIKUjA kipindi kile cha tuzo za bet ka sijakosea nilipambana haswa kuonana NAE nikashindwa nikaona isiwe kesi MWISHO nipigiwe mwanoo Bure nka APA kumsakua next timeMbona na yeye upo visiwani?!
Hayo haya ni husu ni mambo yake ya KAZI mi SINA SHIDA na kupiga picha Wala PESA zake mi nacho taka KWAKE ni pendo TU mkuu Jay z Hana mamlaka ya kunizuia MANA Haja muoaNenda kawalipe roc nation bilioni 200 ya Tanzania wanakupa bure na nyongeza ya under ground mmoja..............maana mikataba waliyomvisha sijui kama hata busu utaluusiwa kupiga.........yaani hata akisikia nyege jay z tu ndio mwenye mamlaka ya kumdinya na sio mwengine haruhusiwi kuongea na media wala kutoka toka hovyo.......wala kupigwa picha yeyote yaani yuko chini ya menejiment nzito balaaaa jamaa wamekamia mpaka na mavazi wanampa wao..........hakuna kula cha mtu wala kuchukua chochote kutoka popote mpaka wampe ruhusa wao...........
Umezoea kuoa wanawake wa bei rahisi .........hao wapo tanga na Morogoro.....jaribu huko shehkHayo haya ni husu ni mambo yake ya KAZI mi SINA SHIDA na kupiga picha Wala PESA zake mi nacho taka KWAKE ni pendo TU mkuu Jay z Hana mamlaka ya kunizuia MANA Haja muoa
Kwishaaaa
Bro Alex on da beats yoow
Hiyo management naona miyeyusho inamkaba sio poa.Nenda kawalipe roc nation bilioni 200 ya Tanzania wanakupa bure na nyongeza ya under ground mmoja..............maana mikataba waliyomvisha sijui kama hata busu utaluusiwa kupiga.........yaani hata akisikia nyege jay z tu ndio mwenye mamlaka ya kumdinya na sio mwengine haruhusiwi kuongea na media wala kutoka toka hovyo.......wala kupigwa picha yeyote yaani yuko chini ya menejiment nzito balaaaa jamaa wamekamia mpaka na mavazi wanampa wao..........hakuna kula cha mtu wala kuchukua chochote kutoka popote mpaka wampe ruhusa wao...........