Usiwaze maombi TU mkuu. WATU wanazani natania ILA mi nmedhamiria mkuu kama ni vita NSHA vaa gwanda na bunduki mkononi. NINGE mtumia zuchu NILIMUONA NAE kipindi kile zanzibar KWENY tuzo ILA mi SIO star mkuu tamupata wapi pia hawezi hata nisikilize hivo nakomaa mwenyewe kimungu saidiaIla yule mtoto mkali kaka pambania kombe hilo hueshimishe taifa
HAO asilimia KUBWA ni wake za WATU mwishowe tajikuta nazungukwa na maadui kibao ungenishauri wawe marafiki ZANGU linge KUWA wazo Bora SANA ILA kuwala itanipa SHIDA alafu Kuna muda nmejiwekea ukiisha huo naachana NAE SA nikiongeza HAO tajipa mzigo pia takosa amani. kumuwinda TEMS HUYU anahitaji akili zaidi SIO za darasani no za uraiani chafu na safiAll the best mkuu,
Ila Mimi nilikua na wazo kwann usijipe challenge kwanza uone kama utafanikiwa ukianza huo mtihani mkuu,
weka target waziri Mmoja wa serikali ya mama umtafune,mwishmiwa mbunge mmoja,mkuu wa mkoa Mmoja,ceo Mmoja wa taasisi nzito,mke labda watajiri mkubwa jipe challenge kwanza uone ka ukitoboa yeyote apo bas hata iyo utatoboa.
Wanalinda brandHiyo management naona miyeyusho inamkaba sio poa.
Tatizo lako unadhani kira tope linaweza kutoa kambale..........HAMNA sheikh hakuna kinacho shindikana naamini humu tukizichanga fresh fikra tuna mchukua asubuhi TU tumeweza kuwapeleka mkukuu viongozi wetu WA nchi tushindwe hicho kitoto never SI jamii forum nayo ijua
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow
Hapana mkuu nmekuonesha ni jinsi GANI mitandao ina nguvu. Lakini tuombee uzima temz anaenda KUWA shemeji yenu inshallah.Tatizo lako unadhani kira tope linaweza kutoa kambale..........
Kwa UPANDE wangu NAONA ni SAWA Jay z anakoneksheni KUBWA SANA hivo akivumilia Miaka mitatu TU inatosha KUJENGA brand KUBWA ya kujaza VIWANJA VYA mpira kama nou camp PEKE yake hivo ni SAWA JAPO hua hawadumu, SIJUI SHIDA Nini punde utasikia kaachana na HIYO leboHiyo management naona miyeyusho inamkaba sio poa.
UPANDE wangu NAONA ni SAWA angalia harmonize alicho FANYA kwa mondi au Ibrah kwa harmonize WATU wanawekeza PESA wapate PESA ILE SIO sadaka. Wasani Kuna muda wana zingua HVO lazma ujirinde. NDO MANA Mimi NME amua kudeal na Ai TU KWENYE lebo YANGU tayoanzisha soon🙏Wanalinda brand
We hayo mashart unayaweza??Kwa UPANDE wangu NAONA ni SAWA Jay z anakoneksheni KUBWA SANA hivo akivumilia Miaka mitatu TU inatosha KUJENGA brand KUBWA ya kujaza VIWANJA VYA mpira kama nou camp PEKE yake hivo ni SAWA JAPO hua hawadumu, SIJUI SHIDA Nini punde utasikia kaachana na HIYO lebo
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow
Daah too much mzee, unaishi kiroboti robotiWanalinda brand
Moja ya Sheria wanazo pewa BAADA ya kusaini lebo ya Jay z. USIWE na MPENZI au usimuoneshe MPENZI WAKO kwa KIPIND chote cha MKATABA. Usiposti picha YOYOTE ILE Hilo ni JUU ya lebo. Hakuna kufanya KAZI na kampuni YOYOTE ILE ya kibiashara au kufanya kolabo na YOYOTE yule bila idhini YAO. MWISHO hakuna kuzaa MPAKA MKATABA UISHE.We hayo mashart unayaweza??
Kwa kifupi demu hauishi ustaa wake, ni programed kama roboti vile
We nawe hebu soma umelewe mwenzio..Hayo haya ni husu ni mambo yake ya KAZI mi SINA SHIDA na kupiga picha Wala PESA zake mi nacho taka KWAKE ni pendo TU mkuu Jay z Hana mamlaka ya kunizuia MANA Haja muoa
Kwishaaaa
Bro Alex on da beats yoow
Mmh sista una uhakika Rihanna HAkUA na MAHUSIANO kabla haja kutAna na asapy au nikutajie orodha? rekebisha CHANZO chako cha taarifa hi ya Rihanna SI SAHIHI HUYU HADI alipigwa na mahawara.We nawe hebu soma umelewe mwenzio..
Huyu dada kama Yuko chini ya roc nation ya Jay z amesainishwa mkataba,na una masharti.mojawapo ni hautakiwj kuwa na boyfriend Wala mchumba Wala mume labda umwambie akae huko akusubiri,hauruhusiwi kubeba mimba,hata watu wa kuongea nao unachaguliwa,na unaambiwa ukaongee Nini hata ukiwa mbele ya media wao ndo wanakuambia uongee Nini sio unajiropokea tu.wao ndo wanampaangia avae Nini,haingii hata dukani kununua nguo,hata familia yake iam sure haongei nayo mapaka apewe ruhusa,kuhudhuria matamsha mapaka apewe ruhusa,kuchat na watu mpaka apewe ruhusa,apost Nini na aandike Nini mpaka apewe ruhusa.kwa kifupi hata hiyo account yake ya insta Iko chini ya management sio yeye.
Unajua kwanini wakiwaona mapaparazi wametokea ghafla wanakimbia na kufica?
Unajua kwanini hawahudhurii harusi au hata matamasha?
Haya aliyapitia Rihanna mpaka alivyomaliza kifungo ndo akaamua kuwa na familia.
Labda hapo zamani.lakini Kwa Sasa masharti mapya.Mmh sista una uhakika Rihanna HAkUA na MAHUSIANO kabla haja kutAna na asapy au nikutajie orodha? rekebisha CHANZO chako cha taarifa hi ya Rihanna SI SAHIHI HUYU HADI alipigwa na mahawara.
Kwishaaaaaaa
Bro Alex on la beats yoow............. God is gud
Ni kweli ILA kusema kuwasiliana na NDUGU MPAKA aruhusiwe na lebo SI KWELI, Marekani wana Sheria zao zinazo husu haki za mfanyakazi na huzichunga SANA. uhuru lazima huwepo JAPO katika KILA KITU kinacho husu public HAPO NDO Sheria za lebo huzingatiwa dadaLabda hapo zamani.lakini Kwa Sasa masharti mapya.
Sawa we pambana na nyg zako huyo sio level zako🤣Ni kweli ILA kusema kuwasiliana na NDUGU MPAKA aruhusiwe na lebo SI KWELI, Marekani wana Sheria zao zinazo husu haki za mfanyakazi na huzichunga SANA. uhuru lazima huwepo JAPO katika KILA KITU kinacho husu public HAPO NDO Sheria za lebo huzingatiwa dada
Kwishaaa
Bro Alex on da beats yoow........ God is gud
Hahahahaaaa kama SHIDA inge KUWA nyege SI NINGE kutongoza hata WEWE🤣 kitaa pisi kibao mishangazi kibao na najikubali nisinge kosa hata mlevi 🤣 but my heart has fall to some one else. Fikisha ujumbe, Kuna kiumbe kime kufa ILA hakija oza kinaitaji ukifufue temz pliz usikatae unakiumizaaaaaaa kinkpendSawa we pambana na nyg zako huyo sio level zako🤣
KarogeKatika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA haswa.
WAKUU plizi Niko NJE ya muda kwa kifupi mi ni mlala hoi ILA nimependa kama NYIE mnavo penda hisia ZANGU kwa TEMS msanii WA nijeria ni KUBWA SANA. hazi simuliki mi SIO star SINA PESA JE nitumie mbinu GANI KUMPATA makazi YANGU kwa SASA ni unguja.
Endelea kuota😂Hahahahaaaa kama SHIDA inge KUWA nyege SI NINGE kutongoza hata WEWE🤣 kitaa pisi kibao mishangazi kibao na najikubali nisinge kosa hata mlevi 🤣 but my heart has fall to some one else. Fikisha ujumbe, Kuna kiumbe kime kufa ILA hakija oza kinaitaji ukifufue temz pliz usikatae unakiumizaaaaaaa kinkpend
Kwishaaaaaa
Bro Alex on la beats yoow.......... Jah iz really
Asante mkuu Mimi na ishirikina tuna bifu KILA MTU hapaswi kuingia KWENYE KUMI nane za mwenzake mkuu Asante SANA LABDA ungenishauri NIFUNGUE na KUSALI MWAKA MZIMA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿Karoge