Nampenda Mungu tu


Naona huu uzi ushaanza kuleta kizaazaa, nilisema tangu mwanzo mimi.
 
Wangu Hana ananichomesha mabua
 
Hahahaha kwahiyo unalilia wanaume wa wenzako??
 
Kumbe eehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€wakatajana bhana wanaopendana πŸ˜€
 
Naww aaliyah ulichomokaje, kuna jamaa kaweka DP ya picha halisi aliku tag anakuzimikia...

Hamkufika inbox [emoji4]
Mmh sikumbuki iyo I'd lakini sichukuliag hiv vitu serious sabbu sipendag kujistress mapenz ya walioshiba kwanza πŸ˜‚
 
Vijana wa humu waongo sana Yani ukiwaona wanachat utasema watu kumbe 🀣🀣🀣
Japo walio serious wapo ila nao hawaamini mapenz ya humu. ..ivo kumpata MTU bora ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…